Sadiki na Sikiri

Sadiki na Sikiri

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1114878
 
Umenikumbusha mbali sana. Std 3. 1994 @ m......i primary school.

Baadae walikuja kubadilisha ikawa Sadiki na Chitemo.

" Sikiri mi masikini

Uvivu wangu nyumbani

Nikiwa huu njiani
Nakufa hapa kwanini

Sadiki sasa ashiba
Chakula kingi kwa baba

Narudi leo nyumbani

Kuishi tena kwa baba.

Those were the days
 
waoo! hatupishani sana, mie 1996. cc. mwl. Kelina Msambi

Daa
 
Wazazi wake hawakumwelewa tu, Sikiri alikuwa ni mtoto mwerevu, alitaka kwenda mjini kutafuta maisha, wazazi wake wangeonyesha ushirikiano basi kijana angefika mbali na kuwa tajiri mkubwa.

Wazazi tujitahidi kukuza ndoto (vipaji) vya watoto wetu. Huwezi kwenda shamba miaka yote afu hakuna kinachopatikana.
 
Umenikumbusha mbali sana. Std 3. 1994 @ m......i primary school.

Baadae walikuja kubadilisha ikawa Sadiki na Chitemo.

" Sikiri mi masikini

Uvivu wangu nyumbani

Nikiwa huu njiani
Nakufa hapa kwanini

Sadiki sasa ashiba
Chakula kingi kwa baba

Narudi leo nyumbani

Kuishi tena kwa baba.

Those were the days
Stori ya kwenye baibo""Habari za Mwana Mpotevu"""
 
... hilo bus ni muundo wa TTBS design ya mkate hivi carrier ikiwa juu na mlango wa abiria ukiwa katikati siti 3 x 2 likipita kijijini mara moja kwa wiki LEYLAND ALBION na BEDFORD hizo. Ukikaa siti ngazi za kupandia kwenye carrier utapata tabu sana.

Always kwa mbele nyuma ya Dereva kwa juu palikuwa na maandishi ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO kwa rangi nyekundu. Wahenga mnakumbuka sana haya mambo.
 
Back
Top Bottom