Sadio Mane aenda kucheza mpira mtaani na rafiki zake wa utotoni

Kwa yeye kucheza viwanja vyenye matope na mabonde si jambo la uzalendo ila ni ujinga wa kiwango Cha lami na kukosa menegment yenye maono.
 
Heshima kubwa sana kwa S. Mane, hii ndiyo asili ya kiafrika, upendo (misaada) kwa wakuzungukao mpaka kijijini kwako.
 
Kwa wachezaji wa Africa Sadio Mane na Ng'olo Kante ni watu na nusu.
Hawa jamaa hua hawana makuu kabisa, MUNGU azidi kuwabariki.
 
Kwa yeye kucheza viwanja vyenye matope na mabonde si jambo la uzalendo ila ni ujinga wa kiwango Cha lami na kukosa menegment yenye maono.
Wewe mwenye management yenye maono upo wapi?
Hata kwenye career yako nani anakujua hapa Duniani?
Management ione nini tena? Imfikishe wapi tena?
As a footballer ashashinda kila kitu ( vilivyo ndani ya uwezo wake)......
Kwa sasa Hana anachodaiwa zaidi ya kufurahia kipaji chake na kuvuna pesa.
Kama ni sehemu ya vitu anavyoenjoy aachwe afanye.....mradi havunji sheria na mikataba yake.........
Tuache ujuaji usio wa msingi.
 
Wabongo kwa kujifanya wajuaji bna,Mshindi

Club bingwa dunia
UEFA
Super cup
EPL
Afcon
World cup kaipeleka team yake
Nominee wa Balon d'or
FA
Carabao
Mfungaji Bora Epl
Mchezaji Bora Africa
N.k

Bado kuna mlevi haoni kazi ya mgt yake[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom