Sadio Mane ageuka bondia, Bayern yamfungia

Tena kamnaza ktk kipind hiki Cha mwezi wa ramadhani
 
Mane amezingua nashangaa anatetewa kuwa hambo

Mtu hambo kuliko wate ni Roberto Firmino barbosa

Huyu mwamba awekwe benchi yeye poa tuu

Atolewe sub yeye poa tuu

Hajawahi kununa wala kukataa mkono wa kocha kama Mane, hajawahi lalamika kunyimwa pasi

Huyo ndio hambo
 
Mane kaomba msamaha kwa kilichotokea Thomas Tuchel kasema
 

Mbona kampiga msenegali mwenzake?. Angempiga mzungu pangechimbika.
 
Mimi nadhani tatizo litakuwa kwa makocha wa Bayern wanashindwa kutengeneza mfumo wa kuendana naye. Kwa maana hata akiwa Liverpool Robertson alikuwa anapanda sana upande wa kushoto japo nikiri kuwa si kwa kiwango cha Alphonso Davies.
Inatakiwa namba 11 ivunjwe mane aingie Kati au apelekwe pembeni...mane ashazoea kukimbiza halafu anaingia ndani akimfata beki...Sasa hapo mbio nyingi anapiga Davies..halafu mpira wa ujerumani utamkimbiza nani....atatoka tu hapo labda mfumo ubadilishwe kwa ajili yake...Sasa ashakosana na Sane...sane ndo mwamuzi wa mechi ngumu kwa Bayern sijui mabosi watamchukuliaje Mane baada ya hii saga kuisha....
 
Mane aondoke zake arudi England....atafute Man city au aende Arsenal
 
Tuchel timu itamshinda mapema sana.
Hii gemu ya Leo na Hoffenneim inazidi kumuumbua
 
Shida sio weupe ama weusi , pep hapendi wa africa ndio maana hata prime etoo alimkataa, prime yaya toure alimkataa. Huwa anatazama mweusi anacheza timu ya taifa ya nchi gani ?

AKANJI ANATOKA USWISS, USWISS SIO AFRICA

Mahrez ni wa wapi?
 
Abidal mweupe?
Fabian delph mweupe?
Alaba mweupe?
Sterling mweupe?
Benjamin mendy mweupe?
Eliaquim Mangala mweupe?
Fernandinho mweupe?

Waafrika tuna mentality za kibaguzi asee.

mkuu umemsahau na Keita pale Barca alikuwa ni mmoja ya wachezaji wake pendwa kabisa.
 

sasa tatizo ni Afcon na Tabia za kiswahili au Ubaguzi?
 

Keita
 

mane ni Bench wormer pale Buyern, ansuburiwa msimu wishe utolewe mkopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…