Sadio Mane ageuka bondia, Bayern yamfungia

Sadio Mane ageuka bondia, Bayern yamfungia

[emoji599] Bayern have suspended Sadio Mané after his fight with Leroy Sané after Man City game when he punched Sané in his face after having an argument during the match.

Bayern announce that Mané will not be in the squad against Hoffenheim. In addition, the Senegalese will be fined. https://t.co/3ZL3aKbWx5


Je ni bora angebaki Liverpool?
Tena kamnaza ktk kipind hiki Cha mwezi wa ramadhani
 
Mane amezingua nashangaa anatetewa kuwa hambo

Mtu hambo kuliko wate ni Roberto Firmino barbosa

Huyu mwamba awekwe benchi yeye poa tuu

Atolewe sub yeye poa tuu

Hajawahi kununa wala kukataa mkono wa kocha kama Mane, hajawahi lalamika kunyimwa pasi

Huyo ndio hambo
 
Mane kaomba msamaha kwa kilichotokea Thomas Tuchel kasema
 
Na hiyo ndio asili ya mwafrika halisi mazoea sawa lakini yasizidi,,, Mazoea yakizidi ni hatari haswa kwa pande zote mbili zenye mazoea hayo!!wenzetu wazungu wameshazoeshana mazoea ya kisengesenge tuu na dharau sasa kwa mwafrika halisi lazima kuna wakati,,inabidi tuu uwashikishe adabu waelewe kuna wakati mambo lazima yaende tuu hata kwa kutandikana makofi na ngumi pia!!!Bravoo S..💴💴💴!!!(Kibunda)

Mbona kampiga msenegali mwenzake?. Angempiga mzungu pangechimbika.
 
Mimi nadhani tatizo litakuwa kwa makocha wa Bayern wanashindwa kutengeneza mfumo wa kuendana naye. Kwa maana hata akiwa Liverpool Robertson alikuwa anapanda sana upande wa kushoto japo nikiri kuwa si kwa kiwango cha Alphonso Davies.
Inatakiwa namba 11 ivunjwe mane aingie Kati au apelekwe pembeni...mane ashazoea kukimbiza halafu anaingia ndani akimfata beki...Sasa hapo mbio nyingi anapiga Davies..halafu mpira wa ujerumani utamkimbiza nani....atatoka tu hapo labda mfumo ubadilishwe kwa ajili yake...Sasa ashakosana na Sane...sane ndo mwamuzi wa mechi ngumu kwa Bayern sijui mabosi watamchukuliaje Mane baada ya hii saga kuisha....
 
Mane aondoke zake arudi England....atafute Man city au aende Arsenal
 
Shida sio weupe ama weusi , pep hapendi wa africa ndio maana hata prime etoo alimkataa, prime yaya toure alimkataa. Huwa anatazama mweusi anacheza timu ya taifa ya nchi gani ?

AKANJI ANATOKA USWISS, USWISS SIO AFRICA

Mahrez ni wa wapi?
 
Abidal mweupe?
Fabian delph mweupe?
Alaba mweupe?
Sterling mweupe?
Benjamin mendy mweupe?
Eliaquim Mangala mweupe?
Fernandinho mweupe?

Waafrika tuna mentality za kibaguzi asee.

mkuu umemsahau na Keita pale Barca alikuwa ni mmoja ya wachezaji wake pendwa kabisa.
 
Mwishoni umeweka neno wa Africa.

Hao wote uliowataja juu hakuna Mwafrica hata mmoja ?

Ukitazama passports zao huwezi kuta nchi za ki africa.

Makocha wanawakataa weusi wa africa kwa sababu ya ratiba ya afcon na pia wana tabia za kiswahili.

Mane ni anatoka cameroon. Pep hawezi mkubali maana afcon na ligi za ulaya na uefa zinachezwa muda sawa

sasa tatizo ni Afcon na Tabia za kiswahili au Ubaguzi?
 
Kwenye hoja yangu nimeweka sababu mbili ambazo ni Afcon na tabia za uswahili zetu waafrica tuliozaliwa na tuliokulia africa.

Mane factor zote mbili zinamuingia.

Mahrez factor moja tu inamuingia ya afcon. Factor ya pili haimuingii ndio maana pep kamchukua

Mahrez sio mswahili. Mahrez kazaliwa ulaya ufaransa. Kakulia ulaya.

Algeria ameiwakilisha sababu ni nchi yake ya asili tu. Hivyo hana tabia za kiswahili.

Nitajie mchezaji gani pep guardiola amewai msajili ambaye anaingia kwenye factor zote mbili ambazo ni
1. Kwenda afcon kuwakilisha nchi yake
2. Kuzaliwa na kukulia africa.

Keita
 
Mane hana wakati mzuri Bayern...
Upande anaocheza yupo Davies. Davies anacheza upande wote ule. Mane anakuwa hawezi kuonesha makali yake koz kazi kubwa anafanya Davies ktk ule upande. Labda kocha aamue kuswitch namba ampeleke upande wa kulia angalau anaweza kuonekana...ila upande wa kushoto hawezi kung'aa kamwe...

mane ni Bench wormer pale Buyern, ansuburiwa msimu wishe utolewe mkopo.
 
Back
Top Bottom