Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Hii ndio akili sasa,sio Samatta anayejenga msikiti..
Wewe umejenga nini?Hii ndio akili sasa,sio Samatta anayejenga msikiti..
Sina uwezo wa kujenga chochote.Wewe umejenga nini?
HhahahaHii ndio akili sasa,sio Samatta anayejenga msikiti..
Nilikuwa natafuta komenti kama hii...Hii ndio akili sasa,sio Samatta anayejenga msikiti..
Mkuu hii comment kuna watu wenye kutanguliza udini hawawezi kuielewa.Nilikuwa natafuta komenti kama hii...
NB: Wema ni wema tu, hauchagui
Hahaaaaa wewe jamaa subiria matusHii ndio akili sasa,sio Samatta anayejenga msikiti..
Kwani misikiti inashida gani,? si ni sehemu za watu kumswalia Muumba wao, nini mbaya upendo?Hii ndio akili sasa,sio Samatta anayejenga msikiti..
Sina uwezo wa kujenga chochote.
Ilitakiwa utafakari kwanza kuhusu hilo kabla ya kusema kuwa Mane kafanya jambo la Akili kuliko Samatta.Inawezekana huko Temeke misikiti inajaa sana kiasi kwamba huyu nyota wetu kaamua kutatua hiyo kero.