Sadio Mane atoa misaada kijijini kwao

Sadio Mane atoa misaada kijijini kwao

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
[emoji1211] Sadio Mané has built a school in his local village in Senegal at a cost of €270,000.

[emoji541] He has also built a hospital and financed a stadium for the people.

[emoji122]Mane also gives out £70 to families on a monthly basis and gives out free kits to local kids.

[emoji404] @AfricaFactsZone
IMG_20190729_180508.jpeg
IMG_20190729_180505.jpeg
IMG_20190729_180502.jpeg
IMG_20190729_180458.jpeg
 
Nilikuwa natafuta komenti kama hii...

NB: Wema ni wema tu, hauchagui
Mkuu hii comment kuna watu wenye kutanguliza udini hawawezi kuielewa.

Jamii yetu haijawahi kukosa sehemu ya kufanyia ibada,misikiti na makanisa kutwa viti viko wazi.Jamii yetu ina changamoto kwenye huduma za jamii,shule hazina vitabu vya kutosha,hospitali hazina madawa wala vitanda vya kutosha nk.

Ukiwa nyota na ukajaaliwa ahueni ya maisha kisha ukataka kurudisha kidogo kwa jamii yako nadhani ni vyema ukaangalia changamoto zinazoikabili.

Inawezekana huko Temeke misikiti inajaa sana kiasi kwamba huyu nyota wetu kaamua kutatua hiyo kero.

Pongezi kwake.
 
Inawezekana huko Temeke misikiti inajaa sana kiasi kwamba huyu nyota wetu kaamua kutatua hiyo kero.
Ilitakiwa utafakari kwanza kuhusu hilo kabla ya kusema kuwa Mane kafanya jambo la Akili kuliko Samatta.

Walichokifanya wote ni msaada kwa jamii, kwao watoaji(Mane na Samatta) ni wema.

Kumbuka msaada unatolewa kutokana na utashi wa mtu(roho yake itakavyopenda).

Mbali na hivyo, Jee huo ndio mwisho wa msaada alioutoa Samatta?

Kila la kheri kwao wanaojitahidi kutoa misaada kwa jamii
 
Back
Top Bottom