Kumbe tuna uhaba wa sehemu za kufanyia ibada?nimekuelewa.Kwani misikiti inashida gani,? si ni sehemu za watu kumswalia Muumba wao, nini mbaya upendo?
Wewe unaweza usione huo uhaba ila mwenyewe kaona ,na kama hamna uhaba, basi huo msikiti ungekosa watu, je watu hawaswali hapo? . Mungu akusaidie upate pesa nyingii kama bado hujapata nadhani huo uhaba uliouona utauclear. Nimekuelewa pia[emoji106]Kumbe tuna uhaba wa sehemu za kufanyia ibada?nimekuelewa.
FOHWewe unaweza usione huo uhaba ila mwenyewe kaona ,na kama hamna uhaba, basi huo msikiti ungekosa watu, je watu hawaswali hapo? . Mungu akusaidie upate pesa nyingii kama bado hujapata nadhani huo uhaba uliouona utauclear. Nimekuelewa pia[emoji106]
Acha chukiHii ndio akili sasa,sio Samatta anayejenga msikiti..
KabisaHii ndio akili sasa,sio Samatta anayejenga msikiti..
Acha kupangia watu matumizi ya pesa tafuta zako na wewe ujenge hujamsaidia kutafutajenga shule hospitality siyo misikit
Mimi ndiyo maana huwa nasema maisha Tanganyika ni ghali kushinda hata Paris maana hilo jengo huku kwetu ni mabilioni ya kutosha na ingekuwa bado haijakamilikaMbona hela iliyotajwa na majengo hela yaonekana ndogo majengo mengi.
Huku kwetu utasikia shule imejengwa kwa bilioni ila ni ya ajabu ajabu
Kaa kimyaSina uwezo wa kujenga chochote.
Duh huyu uliyemtaja hapa ni nani mkuu?Munflgu amzidishie alipopunguza
Acha uongo wewe. Mbona kujenga majungu unaweza?!Sina uwezo wa kujenga chochote.
Karibu million 700-800Euro 270,000 bongo inajenga choo cha milango minne tu