Sadio Mane atoa misaada kijijini kwao

Sadio Mane atoa misaada kijijini kwao

Kumbe tuna uhaba wa sehemu za kufanyia ibada?nimekuelewa.
Wewe unaweza usione huo uhaba ila mwenyewe kaona ,na kama hamna uhaba, basi huo msikiti ungekosa watu, je watu hawaswali hapo? . Mungu akusaidie upate pesa nyingii kama bado hujapata nadhani huo uhaba uliouona utauclear. Nimekuelewa pia[emoji106]
 
FOH
 
Mbona hela iliyotajwa na majengo hela yaonekana ndogo majengo mengi.
Huku kwetu utasikia shule imejengwa kwa bilioni ila ni ya ajabu ajabu
Mimi ndiyo maana huwa nasema maisha Tanganyika ni ghali kushinda hata Paris maana hilo jengo huku kwetu ni mabilioni ya kutosha na ingekuwa bado haijakamilika
 
Back
Top Bottom