Sadio Mane atoa misaada kijijini kwao

Acha chuki

Nyerere kwa influence zake imejengwa misikiti sio chini ya mitatu

Magufuli chini ya influence zake umejengwa msikiti mmoja ILALA

Na wakristo wengi sana tu hujenga misikiti
Akili yako ndogo inaona chuki tu.

Hapo ulipo huna hata uhakika wa huduma bora za afya wala elimu bora kwa wanao lakini unashangilia ujenzi wa nyumba za ibada as if tuna upungufu wa hivyo vitu.

Makanisa na Misikiti vimejaa tele,waumini wenyewe wakubangaiza afu bado unatuongezea ili iweje?wapuuzi kama wewe ndio mnaweza shangilia this type of non-sense.
 
Misikiti kwa mfano Dar inajaa sana ungekuwa unaishi Dar na unaenda msikitini ungejua

Dar waislamu ni wengi sana. Maeneo kama ubungo misikiti inajaa sana
 
Wewe ndo msemaji wa samata?
 
Misikiti kwa mfano Dar inajaa sana ungekuwa unaishi Dar na unaenda msikitini ungejua

Dar waislamu ni wengi sana. Maeneo kama ubungo misikiti inajaa sana
Hospitali na shule hazijai mkuu?hivi usipoenda msikitini au kanisani utakufa?

Kuna mahali tunafeli kwenye vipaumbele na hili ni kuanzia serikalini na sasa mpaka kwa watu wetu mashuhuri.

Alichofanya Samatta nisawa na kununua midege kwa mkupuo(inayohudumia watu wachache sana kati ya 55M) huku watoto wa vyuo vikuu wakinyimwa mikopo,wakulima wakikosa ruzuku za pembejeo,madawa yakiwa haba hospitalini nk

Huo msikiti utahudumia watu wachache sana ambao hao hao hawana uhakika wa tiba bora wala elimu bora.

Ni bora kubanana msikitini au kanisani lakini sio hospitalini mkuu..
 
Yaani umpangie mtu kipaumbele kwa pesa yake wakati hata asipojenga chochote akaamua kulewa humwambii kitu ! Acha vituko wewe
 
Kafanya makubwa yaliyoshindwa kufanywa na asilia 99.9 ya mitume na manabii wenye utajiri wa kufuru duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…