upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Mkuu sio majungu ingawa sikuzuii kulichukulia hivyo.Acha uongo wewe. Mbona kujenga majungu unaweza?!
Naomba ujue pia mimi ni shabiki mkubwa sana wa Samatta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sio majungu ingawa sikuzuii kulichukulia hivyo.Acha uongo wewe. Mbona kujenga majungu unaweza?!
Huna mamlaka ya kuniambia nikae kimya,choko nini wewe!Kaa kimya
AmenAllah amzidishie,
Mwenyekiti wa kijiji huko kwenye moja ya vijiji vya chatoSaidia Mane! Ndiyo nani huyu?
Akili yako ndogo inaona chuki tu.Acha chuki
Nyerere kwa influence zake imejengwa misikiti sio chini ya mitatu
Magufuli chini ya influence zake umejengwa msikiti mmoja ILALA
Na wakristo wengi sana tu hujenga misikiti
Misikiti kwa mfano Dar inajaa sana ungekuwa unaishi Dar na unaenda msikitini ungejuaAkili yako ndogo inaona chuki tu.
Hapo ulipo huna hata uhakika wa huduma bora za afya wala elimu bora kwa wanao lakini unashangilia ujenzi wa nyumba za ibada as if tuna upungufu wa hivyo vitu.
Makanisa na Misikiti vimejaa tele,waumini wenyewe wakubangaiza afu bado unatuongezea ili iweje?wapuuzi kama wewe ndio mnaweza shangilia this type of non-sense.
Samata ni 0 brain.madufu boy anawaza msikiti tu.wakati ndugu zake shule kichwani hakuna.Hii ndio akili sasa,sio Samatta anayejenga msikiti..
Ilitakiwa utafakari kwanza kuhusu hilo kabla ya kusema kuwa Mane kafanya jambo la Akili kuliko Samatta.
Walichokifanya wote ni msaada kwa jamii, kwao watoaji(Mane na Samatta) ni wema.
Kumbuka msaada unatolewa kutokana na utashi wa mtu(roho yake itakavyopenda).
Mbali na hivyo, Jee huo ndio mwisho wa msaada alioutoa Samatta?
Kila la kheri kwao wanaojitahidi kutoa misaada kwa jamii
Umeelewa nilichokiandika?Wewe ndo msemaji wa samata?
Huyu wa kwetu kazingua balaa.Hii ndio akili sasa,sio Samatta anayejenga msikiti..
Hospitali na shule hazijai mkuu?hivi usipoenda msikitini au kanisani utakufa?Misikiti kwa mfano Dar inajaa sana ungekuwa unaishi Dar na unaenda msikitini ungejua
Dar waislamu ni wengi sana. Maeneo kama ubungo misikiti inajaa sana
Eti ndio pepo yake hiyoHii ndio akili sasa,sio Samatta anayejenga msikiti..
Kipaumbele cha UDINIKila mtu ana vipaumbele vyake,tusipangiane
Nawe pia
Yaani umpangie mtu kipaumbele kwa pesa yake wakati hata asipojenga chochote akaamua kulewa humwambii kitu ! Acha vituko weweHospitali na shule hazijai mkuu?hivi usipoenda msikitini au kanisani utakufa?
Kuna mahali tunafeli kwenye vipaumbele na hili ni kuanzia serikalini na sasa mpaka kwa watu wetu mashuhuri.
Alichofanya Samatta nisawa na kununua midege kwa mkupuo(inayohudumia watu wachache sana kati ya 55M) huku watoto wa vyuo vikuu wakinyimwa mikopo,wakulima wakikosa ruzuku za pembejeo,madawa yakiwa haba hospitalini nk
Huo msikiti utahudumia watu wachache sana ambao hao hao hawana uhakika wa tiba bora wala elimu bora.
Ni bora kubanana msikitini au kanisani lakini sio hospitalini mkuu..
Ni kipaumbele Pia jamaniHii ndio akili sasa,sio Samatta anayejenga msikiti..
Kafanya makubwa yaliyoshindwa kufanywa na asilia 99.9 ya mitume na manabii wenye utajiri wa kufuru duniani[emoji1211] Sadio Mané has built a school in his local village in Senegal at a cost of €270,000.
[emoji541] He has also built a hospital and financed a stadium for the people.
[emoji122]Mane also gives out £70 to families on a monthly basis and gives out free kits to local kids.
[emoji404] @AfricaFactsZone View attachment 1166445View attachment 1166446View attachment 1166447View attachment 1166448