Sadio Mane kuwakamua Al Nassr bilioni mbili kwa wiki

Kipaji kilichotunzwa, kuendelezwa na kufanyiwa kazi vizuri kinalipa mnoooooooo........
 
In short mane ni kama Lionel messi kwa Africa yaani kwenye mpira kamaliza.....unaweza kuniuliza labda
hana WC
hana individual awards kama balloon d or na golden boot za ulaya na uefa

ila still nitakujibu kwa mafanikio hayo tena ngozi nyeusi kama Mimi, mane kamaliza hongera sana kwake
 
Utajiri wote wa Diamond ni bilioni 23!
Huyu mwamba ndani ya miezi 4,anautajiri wote wa Mond!!!
 
Anawakamua vipesa kidogo tu hivyo??? Au hujui neno kukamuliwa
 
Ndo wamewasha moto hivyo. EPL sijui La Liga zijipange saw sawa, wakizubaa Arab Leagues zinapindua meza, halafu EPL na wenzake zinabaki kuwa 'The Sleeping giants'.
Nyota wangapi wameenda ligi ya marekani je wameipiku epl
Yaani ligi ya wastaafu ichuane na ligi kama ya epl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…