mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,173
- 3,443
Kabisaa,hasa wale bibi zangu pale bambaliNajua kupitia yeye wengi watapona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaa,hasa wale bibi zangu pale bambaliNajua kupitia yeye wengi watapona.
Mpaka FIFA WATAKAPOINGILIA
Ulaya ni ulaya TU bro...Ndo wamewasha moto hivyo. EPL sijui La Liga zijipange saw sawa, wakizubaa Arab Leagues zinapindua meza, halafu EPL na wenzake zinabaki kuwa 'The Sleeping giants'.
Ushachelewa mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Cheti changu cha udaktari hakinisaidii kabisa, ngoja nikichome nikacheze mpira tu; kwa wiki bilioni 2!!
Hela atapata za kutosha, ila jina lake kwenye soka linapotea
Mpaka FIFA WATAKAPOINGILIA
Sawaacha kukariri ndugu
Kipaji kilichotunzwa, kuendelezwa na kufanyiwa kazi vizuri kinalipa mnoooooooo........Msenegal SADIO MANE aachana na B.MUNICH waliokuwa wakimlipa zaidi ya milioni mia saba kwa wiki na kutua kwa wazee wa kugawa Minoti Al NASSR ambako ataanza kukunja kitita cha shilingi bilioni mbili kwa wiki ambayo ni sawa na shilingi bilioni nane kwa mwezi na kwa mwaka itakuwa zaidi ya B.90 kwa hakika mpira unalipa sana.
Kiasi hicho ukikigawa kwa siku ni zaidi ya shilingi milioni mia mbili, fedha ambayo inasimamisha Kituo cha Afya kule kijijini kwetu.
Na kiasi hicho hicho cha siku kinaweza kuwalipa kiinua mgongo wazee zaidi ya watano baada ya KIKOKOTOO waliolitumikia Taifa kwa zaidi ya miaka Thelathini na Tano.
Hakika Soka linalipa ndugu zangu msiviue Vipaji vya watoto huko mtaani waambieni soka ni maisha.
Jina ameshapata acha akusanye mafao sasa.Hela atapata za kutosha, ila jina lake kwenye soka linapotea
Hapa umeandika mwamba. 🤔Huu ni mpango wa kukuza dini ya Mwarabu.
Hivi 2 billions per week huku yeye akiwaingizia sh ngapi kwa mwaka?
Wenye jicho la mbali tushaona.Hapa umeandika mwamba. 🤔
In short mane ni kama Lionel messi kwa Africa yaani kwenye mpira kamaliza.....unaweza kuniuliza labdaUnataka afanye nini zaidi????
Kashinda Europa cup
Kashinda UEFa champions League
Kashinda mchezaji Bora Africa
Kashinda AFCON
Kashinda EPL
Kawa mfungaji Bora EPL
Kashinda bundasliga
N.k n.k
Huu ni muda wa kuvuta mapene angalia umri wake.. Angalia project zake Kule Senegal, jamaa ambition yake kubwa ni kuisaidia jamii kutoka kwenye umasikini uliokithiri so hakuna anahitaji zaidi ya pesa..
MANE IS NOW MONEY [emoji383]
TRUE LEGEND [emoji106]
hana WC
hana individual awards kama balloon d or na golden boot za ulaya na uefa
Utajiri wote wa Diamond ni bilioni 23!Msenegal SADIO MANE aachana na B.MUNICH waliokuwa wakimlipa zaidi ya milioni mia saba kwa wiki na kutua kwa wazee wa kugawa Minoti Al NASSR ambako ataanza kukunja kitita cha shilingi bilioni mbili kwa wiki ambayo ni sawa na shilingi bilioni nane kwa mwezi na kwa mwaka itakuwa zaidi ya B.90 kwa hakika mpira unalipa sana.
Kiasi hicho ukikigawa kwa siku ni zaidi ya shilingi milioni mia mbili, fedha ambayo inasimamisha Kituo cha Afya kule kijijini kwetu.
Na kiasi hicho hicho cha siku kinaweza kuwalipa kiinua mgongo wazee zaidi ya watano baada ya KIKOKOTOO waliolitumikia Taifa kwa zaidi ya miaka Thelathini na Tano.
Hakika Soka linalipa ndugu zangu msiviue Vipaji vya watoto huko mtaani waambieni soka ni maisha.
Anawakamua vipesa kidogo tu hivyo??? Au hujui neno kukamuliwaMsenegal SADIO MANE aachana na B.MUNICH waliokuwa wakimlipa zaidi ya milioni mia saba kwa wiki na kutua kwa wazee wa kugawa Minoti Al NASSR ambako ataanza kukunja kitita cha shilingi bilioni mbili kwa wiki ambayo ni sawa na shilingi bilioni nane kwa mwezi na kwa mwaka itakuwa zaidi ya B.90 kwa hakika mpira unalipa sana.
Kiasi hicho ukikigawa kwa siku ni zaidi ya shilingi milioni mia mbili, fedha ambayo inasimamisha Kituo cha Afya kule kijijini kwetu.
Na kiasi hicho hicho cha siku kinaweza kuwalipa kiinua mgongo wazee zaidi ya watano baada ya KIKOKOTOO waliolitumikia Taifa kwa zaidi ya miaka Thelathini na Tano.
Hakika Soka linalipa ndugu zangu msiviue Vipaji vya watoto huko mtaani waambieni soka ni maisha.
Nyota wangapi wameenda ligi ya marekani je wameipiku eplNdo wamewasha moto hivyo. EPL sijui La Liga zijipange saw sawa, wakizubaa Arab Leagues zinapindua meza, halafu EPL na wenzake zinabaki kuwa 'The Sleeping giants'.
Wana bajeti ya dollars bilioni 20 na haijafika hata dollars bilioni 1...Hujaelewa
Je wataendelea hivyo kwa miaka mingapi?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app