Sadio Mane Mchezaji Bora CAF 2022

Sadio Mane Mchezaji Bora CAF 2022

Leo ndio leo, tuzo za CAF zinatolewa, wazee tupeane updates.

Mzigo utakuwa live kwenye channel ya CAF ya YouTube

Kocha bora wa mwaka(wanaume)
Aliou cisse 🇸🇳

Timu bora ya taifa ya wanaume ni SENEGALI 🇸🇳

Mchezaji bora chipukizi wa kiume
Pape matar sarr 🇸🇳
Tottenham

Mchezaji bora chipukizi wa kike
Evelyn badu 🇸🇳

Goli bora la mwaka
Pape ousmame sakho 🇸🇳
Simba 🦁 sc

Mchezaji bora wa kike ngazi ya klabu
Evelyn badu 🇸🇳

Klabu bora wanaume
Wydad casablanca 🇲🇦

Mchezaji bora wa kiume ngazi ya klabu
Mohamed el shenawy 🇪🇬
Al ahly

Kocha bora wanawake
Desiree ellis 🇿🇦

Klabu bora wanawake
Mamelodi sundowns ladies 🇿🇦
======================

Mshambuliaji wa Simba, Pape Ousmane Sakho amefanikiwa kushinda Tuzo ya Goli Bora la Mwaka katika Tuzo za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), Julai 21, 2022.

Tuzo hizo zimetolewa Rabat Nchini Morocco ambapo Sakho alikuwa akiwania nafasi hiyo dhidi ya Gabadinho Mhango wa Orlando Pirates na Zouhair El Moutaraji wa Wydad Athletic Club.

#Sakho alilifunga bao hilo wakati #Simba ikishinda 3-1 dhidi ya ASEC Mimosas mchezo wa Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwenye Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam, Februari 13, 2022.
View attachment 2299282

View attachment 2299283

Senegal imefunika usiku wa tuzo....wapo vizuri sana
 
Baada ya kukosa chochote msimu huu
Hatimae [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mambo ya Kwa mkapa hayo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka ukiwa kigamboni sehemu gan??
Avic town uko room ipi? Tuwaletee Tuzo muishike angalau

Na nyie mtoe gundu la 0.5.

Byuti byuti.

Weraaaaaaaah.
 
Leo ndio leo, tuzo za CAF zinatolewa, wazee tupeane updates.

Mzigo utakuwa live kwenye channel ya CAF ya YouTube

Kocha bora wa mwaka(wanaume)
Aliou cisse 🇸🇳

Timu bora ya taifa ya wanaume ni SENEGALI 🇸🇳

Mchezaji bora chipukizi wa kiume
Pape matar sarr 🇸🇳
Tottenham

Mchezaji bora chipukizi wa kike
Evelyn badu 🇸🇳

Goli bora la mwaka
Pape ousmame sakho 🇸🇳
Simba 🦁 sc

Mchezaji bora wa kike ngazi ya klabu
Evelyn badu 🇸🇳

Klabu bora wanaume
Wydad casablanca 🇲🇦

Mchezaji bora wa kiume ngazi ya klabu
Mohamed el shenawy 🇪🇬
Al ahly

Kocha bora wanawake
Desiree ellis 🇿🇦

Klabu bora wanawake
Mamelodi sundowns ladies 🇿🇦
======================

Mshambuliaji wa Simba, Pape Ousmane Sakho amefanikiwa kushinda Tuzo ya Goli Bora la Mwaka katika Tuzo za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), Julai 21, 2022.

Tuzo hizo zimetolewa Rabat Nchini Morocco ambapo Sakho alikuwa akiwania nafasi hiyo dhidi ya Gabadinho Mhango wa Orlando Pirates na Zouhair El Moutaraji wa Wydad Athletic Club.

#Sakho alilifunga bao hilo wakati #Simba ikishinda 3-1 dhidi ya ASEC Mimosas mchezo wa Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwenye Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam, Februari 13, 2022.
View attachment 2299282

View attachment 2299283

Mchezaji bora chipukizi kwa wanawake ni Senegal mkuu huyo Evelyn Badu ila Senegal wametisha sana wana golden generation
 
Si ndicho nilichoandika mimi, halafu soma tena ulichokiandika mzee
 
Wapi Manara
Domo ponza bichwa
JamiiForums861174633.jpg
 
Leo ndio leo, tuzo za CAF zinatolewa, wazee tupeane updates.

Mzigo utakuwa live kwenye channel ya CAF ya YouTube

Kocha bora wa mwaka(wanaume)
Aliou cisse 🇸🇳

Timu bora ya taifa ya wanaume ni SENEGALI 🇸🇳

Mchezaji bora chipukizi wa kiume
Pape matar sarr 🇸🇳
Tottenham

Mchezaji bora chipukizi wa kike
Evelyn badu 🇬🇭

Goli bora la mwaka
Pape ousmame sakho 🇸🇳
Simba 🦁 sc

Mchezaji bora wa kike ngazi ya klabu
Evelyn badu 🇬🇭

Mchezaji bora wa kike
Asisat oshoala 🇳🇬
Barcelona

Klabu bora wanaume
Wydad casablanca 🇲🇦

Mchezaji bora wa kiume ngazi ya klabu
Mohamed el shenawy 🇪🇬
Al ahly

Kocha bora wanawake
Desiree ellis 🇿🇦

Klabu bora wanawake
Mamelodi sundowns ladies 🇿🇦
======================

Mshambuliaji wa Simba, Pape Ousmane Sakho amefanikiwa kushinda Tuzo ya Goli Bora la Mwaka katika Tuzo za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), Julai 21, 2022.

Tuzo hizo zimetolewa Rabat Nchini Morocco ambapo Sakho alikuwa akiwania nafasi hiyo dhidi ya Gabadinho Mhango wa Orlando Pirates na Zouhair El Moutaraji wa Wydad Athletic Club.

#Sakho alilifunga bao hilo wakati #Simba ikishinda 3-1 dhidi ya ASEC Mimosas mchezo wa Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwenye Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam, Februari 13, 2022.
View attachment 2299282

View attachment 2299283
View attachment 2299339View attachment 2299340
View attachment 2299341

What a goal
 
Back
Top Bottom