Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Naitunza hii comment yakoLivepoor ni pimbi kama pimbi wengine
Kale ka MO sala ni kabaguzi sana na kabinafsi, mwanzoni ilikuwa bora apige mpira nje au ampe adui kuliko kumpa pasi ya goli mane.
Nadhani kuna wakati mane alitaka kuzira kabisa kakajirekebisha kidogo. Ila amekuja kudhihirisha kuwa mane ni moto kwenye kombe la afrika na kuwania kufuzu kombe la dunia kwa timu za nchi
Liverpool wana ubaguzi hilo linajulikana.
Mane mshahara ulikua dusko sana.
Bayern wanampa heshima vema kabisa.
Na mashabiki wana upendo naye.
Sure kbsa jana naona kapiga BAO 3
Huna haya ya kwenda huko Senegal. Nenda Mbeya, Kagera, Usukumani au Kigoma.Ila wasenegal ni weusi jamani.. natamani nipate pisi moja Kali ya Kisegal anizalie Original African beauty
Kuna tetesi sijui kama ni kweli kua Mo Salah alikua anamzidi mshahara, jamaa akawafuata mabos wamuongeze wakakataa ila wakamiongeza Salah licha ya kua Mane alikua na performance kubwa kuliko Salah na hii ni kutokana na kua underrated kutokana na rangi yake.
Tubeti laki laki.... Kama akishindwa kufikisha hizo goli 15 nitafute ntakupa hiyo laki.. condition asipate injury itakayomueka benchi muda mrefuSalah hatofikisha BAO 15 msimu huu
Tubeti laki laki.... Kama akishindwa kufikisha hizo goli 15 nitafute ntakupa hiyo laki.. condition asipate injury itakayomueka benchi muda mrefu
Umesahau iLe mech mane kaomba pande afunge kanyimwa pas ad ka mind ad Lakin yy akipata maLiii anamuwekea njian hey sh2kaNdio nakuelewa unaposema ana target zake ila mtu anayetoa msaada hadi awe recognized wengi wanafiki
Mane ana ego ndio inayomfanya ashindwe kujenga persinality
Mo salah ni mtu poa kuliko mane
Umeongea point aiseee KO it means sadio kipnd anatoka soton aLikua na uwezeo wa kawaida then why kLopp aLimchukua. ??__! KwenYe kwendA byern muncheN hapo nakubaLii but mane iLibid aLipwe pesa ndefu kuLiko hata saLah though saLah ana mchango mkubwa sana sadio akikutana na timu yangu nilikua napata mawazo sana maaana anajua Sana maneUkiwa kwenye form ukaenda klabu mpya utasaini mkataba wenye Mshahara mkubwa. Kiwango kikishuka bado mkataba unasema uendelee kulipwa kikubwa .
Ukienda kwenye timu kama ukiwa na Uwezo wa kawaida Mshahara utakuwa wa kawaida,kiwango kikipanda ghafla Mshahara utatumia ule mdogo ulio kwenye mkataba
Umejibu vzuri tupe vigezoSafi kabisa
Ila ukiniuliza nani bora kati ya sadio na Egyptian king. Nitamchagua Egyptian king, na anastahili mshahara mkubwa kuliko mane.
Unasemaje wewe tupe ushahid usituandikie2 haitoshiiMane hajawahi kuwa na performance kubwa kuliko Salah, acheni kukariri wakuu
Individual Perfomance, takwimu pia zinaongeaUmejibu vzuri tupe vigezo
Huu ni uongoLiverpool wabaguzi sana ....muulize keita Mambo anayokutana nayo huko anataka kuvunja mkataba aondoke zake Hana furaha kabisa [emoji23]