Sadio Mane Toka ajiunge Bayern Munich Kawa mtu mwenye furaha

Sadio Mane Toka ajiunge Bayern Munich Kawa mtu mwenye furaha

Safi kabisa

Ila ukiniuliza nani bora kati ya sadio na Egyptian king. Nitamchagua Egyptian king, na anastahili mshahara mkubwa kuliko mane.
 
Kale ka MO sala ni kabaguzi sana na kabinafsi, mwanzoni ilikuwa bora apige mpira nje au ampe adui kuliko kumpa pasi ya goli mane.

Nadhani kuna wakati mane alitaka kuzira kabisa kakajirekebisha kidogo. Ila amekuja kudhihirisha kuwa mane ni moto kwenye kombe la afrika na kuwania kufuzu kombe la dunia kwa timu za nchi

Mo salah ni zaidi ya mane, sema sometimes uafrika unambeba mane. Wengi humchukia Salah kutokana na Rangi yake. All in All salah ni mkubwa more than mane. Takwimu pia zinaongea, bila takwimu ni kazi bure tu, sawa na kutwanga maji kwenye kinu
 
Liverpool wana ubaguzi hilo linajulikana.
Mane mshahara ulikua dusko sana.
Bayern wanampa heshima vema kabisa.
Na mashabiki wana upendo naye.

Nachukia mno ubaguzi, mbona wazungu na wachezaji wa kiamerika ya kusini wanawapa mshahara mkubwa!

Hata salah hawakumtendea haki, miaka yote hiyo why hawakumfikiria kumpa donge nono!

Na wanaosema salah ni mbaguzi, huwa siwaelewi kabisa, yeye na sadio mane wametoka bara moja na hawana skendo yoyote mbaya, sasa kubaguana kunatokea wapi! Watu wengine bwana, sijui wataacha lini chuki.
 
Sure kbsa jana naona kapiga BAO 3

Safi kabisa, huyu jama namkubali sana

Pale Liverpool ni wawili tu nilikua nawakubali ni Salah na Mane, nitafurahi endapo salah atamfuata rafiki yake huko bayern Munich
 
Ila wasenegal ni weusi jamani.. natamani nipate pisi moja Kali ya Kisegal anizalie Original African beauty
Huna haya ya kwenda huko Senegal. Nenda Mbeya, Kagera, Usukumani au Kigoma.
 
Mane yupo kwenye farmer league ambapo wenye akili wakina lewandosk wameona ni ubatili na kujilisha upepo.

Soka la sasa duniani lipo Liverpool na Mancity, pia Mo salah ni chuma kile ni top scores wa liverpool kwa misimu 5 mfululizo.
 
Kuna tetesi sijui kama ni kweli kua Mo Salah alikua anamzidi mshahara, jamaa akawafuata mabos wamuongeze wakakataa ila wakamiongeza Salah licha ya kua Mane alikua na performance kubwa kuliko Salah na hii ni kutokana na kua underrated kutokana na rangi yake.

Mane hajawahi kuwa na performance kubwa kuliko Salah, acheni kukariri wakuu
 
Jadilianeni. Weeh lakini mi najua mwafrika ni jitu jeusi. Nigga Negro jeusi. Mo salah ni mwafrika ramani.
 
Ndio nakuelewa unaposema ana target zake ila mtu anayetoa msaada hadi awe recognized wengi wanafiki

Mane ana ego ndio inayomfanya ashindwe kujenga persinality

Mo salah ni mtu poa kuliko mane
Umesahau iLe mech mane kaomba pande afunge kanyimwa pas ad ka mind ad Lakin yy akipata maLiii anamuwekea njian hey sh2ka
 
Ukiwa kwenye form ukaenda klabu mpya utasaini mkataba wenye Mshahara mkubwa. Kiwango kikishuka bado mkataba unasema uendelee kulipwa kikubwa .

Ukienda kwenye timu kama ukiwa na Uwezo wa kawaida Mshahara utakuwa wa kawaida,kiwango kikipanda ghafla Mshahara utatumia ule mdogo ulio kwenye mkataba
Umeongea point aiseee KO it means sadio kipnd anatoka soton aLikua na uwezeo wa kawaida then why kLopp aLimchukua. ??__! KwenYe kwendA byern muncheN hapo nakubaLii but mane iLibid aLipwe pesa ndefu kuLiko hata saLah though saLah ana mchango mkubwa sana sadio akikutana na timu yangu nilikua napata mawazo sana maaana anajua Sana mane
 
Back
Top Bottom