Sadio Mane Toka ajiunge Bayern Munich Kawa mtu mwenye furaha

Ndio nakuelewa unaposema ana target zake ila mtu anayetoa msaada hadi awe recognized wengi wanafiki

Mane ana ego ndio inayomfanya ashindwe kujenga persinality

Mo salah ni mtu poa kuliko mane
Tofautisha kati ya mtu anayefwata na camera na mtu anayezifata camera mane camera zinamfwata Na Ata kama anazifwata camera mwenyewe huwez jua target yake kubwa had anafanya vile Kuna maisha baada ya soka
 
Kuna tetesi sijui kama ni kweli kua Mo Salah alikua anamzidi mshahara, jamaa akawafuata mabos wamuongeze wakakataa ila wakamiongeza Salah licha ya kua Mane alikua na performance kubwa kuliko Salah na hii ni kutokana na kua underrated kutokana na rangi yake.
Mane alikuwa analipwa 100k kwa wiki
Now anapokea 250k kwa wiki
 
Ukiwa kwenye form ukaenda klabu mpya utasaini mkataba wenye Mshahara mkubwa. Kiwango kikishuka bado mkataba unasema uendelee kulipwa kikubwa .

Ukienda kwenye timu kama ukiwa na Uwezo wa kawaida Mshahara utakuwa wa kawaida,kiwango kikipanda ghafla Mshahara utatumia ule mdogo ulio kwenye mkataba
 
Embu tuanze na mkataba wa Mane na Salah.
Tuipembue kwa mwenye nayo, kuna vitu hatuna uelewa navyo ila tunatolea ufafanuzi.

Mkataba ni kati ya mchezaji na klabu. Mane aliusaini na akakubali kulipwa alichokua analipwa kama wengine wote. Mshahara hauongezwi kiholela hata uwe na kiwango kipi bila kukaa mezani upya.

Mane hakuomba mkataba mpya alifuatwa na Klopp pamoja na Fabinho kutoka mwaka jana Sadio akakataa kubaki (hakutaka kubaki kwa ridhaa yake).

Uzuri wote ni wa Afrika (SALAH & MANE) No problem, wote ni waislamu no problem. Uzuri wote wenye hoja ya Liverpool ni wabaguzi ni wapinzani no problem.
 
Ni kweli kabisa hata mm nilikuwaga najiuliza mbona jamaa alikuwa kama analazimisha furaha? Inawezekana kuna changamoto alikuwa anapitia akiwa Liverpool
 
Nan kasema mane hakua na mkataba wa miaka mitano wote tunajua wakati anatoka soton kuja livepoor alisani mkataba wa miaka mitano sis tumezungumzia jamaa ana enyoy maisha ya Bayern kuliko.livepoor so kama ni mshahara kama ni mambo mengine yamemfanye atoke livepoor iyo utajua wew kikubwa kaondoka livepoor na anafurah na life la Munich
 
Ni kweli kabisa hata mm nilikuwaga najiuliza mbona jamaa alikuwa kama analazimisha furaha? Inawezekana kuna changamoto alikuwa anapitia akiwa Liverpool
juz tu kalalamika livepoor Kuna kipind walikua wanamkataza asirudi kucheza team ya taifa ataenda kupata majeraha kisa alishawah pata majeraha kweny Ile africon ambaye alibeba Cameroon
 
Ukiwa kwenye form ukaenda klabu mpya utasaini mkataba wenye Mshahara mkubwa. Kiwango kikishuka bado mkataba unasema uendelee kulipwa kikubwa .

Ukienda kwenye timu kama ukiwa na Uwezo wa kawaida Mshahara utakuwa wa kawaida,kiwango kikipanda ghafla Mshahara utatumia ule mdogo ulio kwenye mkataba
Vip kuhusiana na kukatazwa kwenda kuchezewa team yake ya taifa ya Senegal nayo ina usiano na mkataba wake
 
Liverpool wabaguzi sana ....muulize keita Mambo anayokutana nayo huko anataka kuvunja mkataba aondoke zake Hana furaha kabisa [emoji23]
Anataka vipi kuvunja mkataba wakati muda wote yupo wodini? Yeye anaona hakuna mazunguzo ya kumuongezea kandarasi ndio maana hana furaha
 
Yeye ni wa kwanza kuzuiwa? Mbona karibu wachezaji wote wa vilabu vikubwa

Mane anaushamba mwingi

Back
Top Bottom