Sadney: Yanga ina focus kwenye Social Media na fake branding badala ya kufanya vitu vya maana

Wachezaji wote walipwe mishahara yao, ni haki yao hiyo
 
Kabisa umenena vema..!
Tulipe mishahara kwanza alafu tunaze kulaumu wachezaji, Mimi ni shabiki wa Yanga lkn ukweli tuambizane mpira wa wa dunia ya leo bila hela tuta onana wabaya tu mtu hawezi toka kwao huko aje acheze bila hela una tegemea anatunza vp familia yake
 
Hapa majirani inabidi warudi kwenye bakuli sio mbaya kuanza moja!!
 
Yanga inaharibiw na wakina mkwasa na mfano wa mkwasa. Kila MTU anatak ukubwa na manufaa yake na umaarufu kupitia yanga. Na hata kuondka kW zahera ndio haohao chanz kutaka Tim iwe chini yao wakat mkwanja hamna
 
Tulipe mishahara kwanza alafu tunaze kulaumu wachezaji, Mimi ni shabiki wa Yanga lkn ukweli tuambizane mpira wa wa dunia ya leo bila hela tuta onana wabaya tu mtu hawezi toka kwao huko aje acheze bila hela una tegemea anatunza vp familia yake
Umechangia timu lakini?
 
huyu Sydney hakuna alichokuwa anafanya Yanga, alikuwa anatafuta mtaji wa biashara, kashapata akafanye biashara sasa mpira hauwezi
 
Kwani yatokea na kusambaa hutaki kuamini

Na Zahera katoa wiki moja, asipolipwa chake anapanda juu..[emoji23]
Juu ya Mnazi Au.
Ile kampuni ya Yanga Yangu iliishiaga wapi ?
[emoji102][emoji102][emoji102]
 
Kwanini Yanga hawasajiri wa hapahapa kutokana na uwezo wao wa kuwalipa ?
Nimeshangaa Hadi Kipa Rostand anawadai Yanga milioni 60.
Hadi Chirwa, Ngoma, Dante, Rwandamila, Zahera hawajalipwa Hadi Leo.
Hii Ni hatariZ
Sajirini tu wa Humuhumu msiwaige Wanasimba, mutakufa bure.
 
Yanga ina wapumbavu wengi by Dk Msola
 
Nafarijika kuona wachezaji vimeo wa kocha kimeo mwinyi zahera wakimfuata bwana wao. Wakati mwingine nina imani viongozi hawatakubali kumuachia mtu mmoja tu awe na final decision kwenye timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…