Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Mtani pesa ndiyo msingi wa maendeleo hata house girl usipomlipa lazima akupe za uso.
Naona mumeleta Ubuyu wa Yanga [emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mumeleta Ubuyu wa Yanga [emoji41]
Tulipe mishahara kwanza alafu tunaze kulaumu wachezaji, Mimi ni shabiki wa Yanga lkn ukweli tuambizane mpira wa wa dunia ya leo bila hela tuta onana wabaya tu mtu hawezi toka kwao huko aje acheze bila hela una tegemea anatunza vp familia yake
Akishatoa za uso ndio anakuwa kalipwa kwani Mtani?Mtani pesa ndiyo msingi wa maendeleo hata house girl usipomlipa lazima akupe za uso.
Aah!! Mtani unajuaga fika tulipotoka na tulipo ila tu ndio hivyo watani zetu kila jambo kwenu ni habari. 😎😎Kuhudumia watoto kunamshinda sasa babalao kwa veep[emoji23][emoji23]
Akishatoa za uso ndio anakuwa kalipwa kwani Mtani?
Mshambuaji Sadney Urikhob ambaye anadaiwa kuikacha timu ya Yanga kwa kuandika barua ya kuvunja mkataba wake kwa kile kinachodaiwa kutolipwa mshahara wake kwa miezi mitatu, amemtolea uvivu mshabiki wa Yanga aliyesema. "Tumefurahi kwa maamuzi yako kwasababu hukufanya kitu"
Baada ya comment hiyo ya mshabiki wa Yanga, mshambuliaji Sadney Urikhob, ambaye kwa sasa inaelezwa yuko kwao nchini Namibia, akamjibu kupitia ukurasa wake wa Instagram.
"Wewe na klabu yako ina focus kwenye social media na fake branding badala ya kufanya vitu vya maana, mimi sio mtumwa na sitakuja kuwa".View attachment 1287213View attachment 1287214
Umechangia timu lakini?Tulipe mishahara kwanza alafu tunaze kulaumu wachezaji, Mimi ni shabiki wa Yanga lkn ukweli tuambizane mpira wa wa dunia ya leo bila hela tuta onana wabaya tu mtu hawezi toka kwao huko aje acheze bila hela una tegemea anatunza vp familia yake
huyu Sydney hakuna alichokuwa anafanya Yanga, alikuwa anatafuta mtaji wa biashara, kashapata akafanye biashara sasa mpira hauwezi
mtaji kapataje na hakulipwa mishahara!!huyu Sydney hakuna alichokuwa anafanya Yanga, alikuwa anatafuta mtaji wa biashara, kashapata akafanye biashara sasa mpira hauwezi
Juu ya Mnazi Au.Kwani yatokea na kusambaa hutaki kuamini
Na Zahera katoa wiki moja, asipolipwa chake anapanda juu..[emoji23]
Yanga ina wapumbavu wengi by Dk Msolatatizo la washabiki wa yanga badala ya kuwabana viongozi wao wawalipe mishahara wachezaji wao wanalumbana na wachezaji wanaodai haki zao hivi wanategemea viongozi wao watajirekebisha au wachezaji wataendelea kuwa na moyo au mpaka wachezaji waitishe mgomo kabla ya mechi na simba halafu mkifungwa goli nyingi mdai kuwa Simba walinunua mechi maana hizo ndio zenu
Ama kweli Yanga Babalao.
Mama lao 🎶🎶🎶🎶Mikia mama lao