Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Mtumishi wa muda mrefu wa wananchi wa Palestina bw Saeb Erakat amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65.
Marehemu Erakat alikuwa mtu wa karibu wa kiongozi mwasisi wa PLO na ameendelea kuwa chini ya rais Mahamud Abbas tangu pale alipomrithi Yasser Arafat.
Katika umri wa utumishi wake ameshiriki mikutano mingi ya kimataifa ya kutafuta suluhu ya mgogoro wa ardhi ya taifa lake na mpaka anafariki hakufanikiwa kuona mafanikio huyo.
انا للاه وانا اليه راجعون