Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Hastahili, kila mmoja abaki kivyakeVipi kuhusu huyu mpalestina anastahili chochote kutoka kwa mtu mweusi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hastahili, kila mmoja abaki kivyakeVipi kuhusu huyu mpalestina anastahili chochote kutoka kwa mtu mweusi?
..naheshimu mawazo yako.Wapalestina ni wabaguzi sana wao hujali ya kwao tu na kujiona wanatendewa uovu wao hawatendi.
Mathalani huyo Saeb kazaliwa hadi kafa anapambania yanayoihusu Palestina na dini yake kwa ujumla what about watoto wanaokufa Africa au South Asia huko kwa sababu mbalimbali?
What about madhira ya South America?
Mandela hakuipambania Afrika ya Kusini tu mataifa mengi kayasemea ya ndani ya Africa na nje ya Africa bila kujali ni whites walewale walioko kwenye ardhi yake.
Hao jamaa me nawaangalia kwa jicho ovu sana 😒
AmenInnah Lilah wainnah Ilayh Rajiun.
May Allah Grant him Jannat Fir