Waafrika mnapenda kusaidiwa sana... kwani yeye mwafrika mpaka atoe mchango kwetu.Mchango wake kwa watu weusi ulikuwaje?
[emoji849]Mchango wake kwa watu weusi ulikuwaje?
Mchango wako kwa watu weupe ni nini?Mchango wake kwa watu weusi ulikuwaje?
Nalipa kodi kwenye taifa lao, huyo mwarabu wenu wa Palestina ana mchango gani kwa watu weusi hadi tumtambue?Mchango wako kwa watu weupe ni nini?
Huo ni uelewa finyu.Waafrika mnapenda kusaidiwa sana... kwani yeye mwafrika mpaka atoe mchango kwetu.
Nalipa kodi kwenye taifa lao, huyo mwarabu wenu wa Palestina ana mchango gani kwa watu weusi hadi tumtambue?
Fidel Castro aliliwa na Africa na waafrica kwa ujumla kwa sababu ana mchango kwetu, JFK aliliwa kwa sababuana mchango Africa, Xi jinping akifariki Africa itamlilia, Narendra Modi ana mchango kwa Africa huyo kiongozi wa kiarabu kafanya nini
Nadhani kichwani mwake hakuwa na fikra za kibaguzi wa rangi.Tatizo lao zaidi ilikuwa baina yao na Israel iliyopora ardhi yao.Hivy ukitaka kumpima kwa kigezo hicho hutopata kitu.Pamoja na hivyo Palestina ilikuwa na uhusiano mzuri na mataifa mengi ya kiafrika amabayo yana watu weusi.Mzee Mandela alikuwa moja ya kipenzi chao kutokana na ushujaa wake wa kuwatetea wao wapalestina.Palestina ina uwakilishi nchini Tanzania ambako wapo watu weusi wengi na Saeb Erakat kila siku akifurahia kupata ushirikiano na Tanzania ijapokuwa Tanzania yenyewe baadae iliwasaliti wapalestina kwa kukubali ushirikiano na Israel mpaka kuruhusu kufungua ubalozi wao.Hivyo inaweza kusemwa baadhi ya watu weusi waliwasaliti wapalestina lakini wao bado hawajachoka kushirikiano nao.Nalipa kodi kwenye taifa lao, huyo mwarabu wenu wa Palestina ana mchango gani kwa watu weusi hadi tumtambue?
Fidel Castro aliliwa na Africa na waafrica kwa ujumla kwa sababu ana mchango kwetu, JFK aliliwa kwa sababuana mchango Africa, Xi jinping akifariki Africa itamlilia, Narendra Modi ana mchango kwa Africa huyo kiongozi wa kiarabu kafanya nini
Huyu Mzee amewapigania sana raia wenzake wa Palestina kwenye meza ya kidiplomasia japo hakufanikiwa.Israel, he[Saeb Erekat] pointed out, boasted a huge military and backing from Western powers. The Palestinians, meanwhile, had few resources and almost no leverage. As their representative, he called himself “the most disadvantaged negotiator since Adam negotiated Eve.”
Umejipeleka mwenyewe kwenye taifa lao lazima ulipe Kodi maana unapata huduma.Nalipa kodi kwenye taifa lao, huyo mwarabu wenu wa Palestina ana mchango gani kwa watu weusi hadi tumtambue?
Fidel Castro aliliwa na Africa na waafrica kwa ujumla kwa sababu ana mchango kwetu, JFK aliliwa kwa sababuana mchango Africa, Xi jinping akifariki Africa itamlilia, Narendra Modi ana mchango kwa Africa huyo kiongozi wa kiarabu kafanya nini
Vipi kuhusu huyu mpalestina anastahili chochote kutoka kwa mtu mweusi?Umejipeleka mwenyewe kwenye taifa lao lazima ulipe Kodi maana unapata huduma.
Hatuhitaji kusaidiwa tunajiweza
Buda acha story ambazo hadi utapotea humu ulimwenguni kwa maana utakapo kufa hutoona hayo uyatakayo yakitendeka.Nadhani kichwani mwake hakuwa na fikra za kibaguzi wa rangi.Tatizo lao zaidi ilikuwa baina yao na Israel iliyopora ardhi yao.Hivy ukitaka kumpima kwa kigezo hicho hutopata kitu.Pamoja na hivyo Palestina ilikuwa na uhusiano mzuri na mataifa mengi ya kiafrika amabayo yana watu weusi.Mzee Mandela alikuwa moja ya kipenzi chao kutokana na ushujaa wake wa kuwatetea wao wapalestina.Palestina ina uwakilishi nchini Tanzania ambako wapo watu weusi wengi na Saeb Erakat kila siku akifurahia kupata ushirikiano na Tanzania ijapokuwa Tanzania yenyewe baadae iliwasaliti wapalestina kwa kukubali ushirikiano na Israel mpaka kuruhusu kufungua ubalozi wao.Hivyo inaweza kusemwa baadhi ya watu weusi waliwasaliti wapalestina lakini wao bado hawajachoka kushirikiano nao.
Wapalestina ni wabaguzi sana wao hujali ya kwao tu na kujiona wanatendewa uovu wao hawatendi...binafsi namtambua Saeb Erekat kwa mchango wake kwa taifa lake la Palestina.
..unapomsifia na kumkubali mtu / kiongozi fulani siyo lazima awe amechangia kwa taifa lako.
..kwa mfano, siyo makosa kwa Wapalestina kutambua mchango wa Raisi Mwinyi/Mkapa/Kikwete au Magufuli kwa Tanzania.
..Naamini ni ktk muktadha huo ndio maana baadhi ya wachangiaji wameguswa na kifo cha Dr.Saeb Erekat.