Nchi hii ukiwa mpinzani una haki za kuvunja Sheria zote za nchi. Ukikamatwa we sema tu unaonewa na kuhujumiwa kwasbb ni mpinzani.Akipata dhamana na kuongea kilichomtokea, huenda watu tukabaki midomo wazi.
Kabisa mkuu , nasubiri nimsikieAkipata dhamana na kuongea kilichomtokea, huenda watu tukabaki midomo wazi.
Hawezi kufanya hivyo maana ataharibu upeleleziAkipata dhamana na kuongea kilichomtokea, huenda watu tukabaki midomo wazi.
huyu mpuuzi hakupaswa hata kuachiwaAliyekuwa Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha leo na ameachiwa kwa dhamana
Kubenea alikamatwa Septemba 07, 2020 na kutuhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo utakatishaji fedha, kukiuka Sheria za kuvuka mpaka kwenda Kenya na kurejea nchini kwa kutumia njia zisizo rasmi
Baada ya kukamatwa alifikishwa Mahakamani na kisha kurudishwa rumande kutokana na makosa ya utakatishaji fedha kutokuwa na dhamana
Pia, Soma: Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande
Wamesha mchukua maelezo wameshampa mashart wamesha mpa na assignment usidhan unatokatoka tu kama umetoka ibadani.Angebaki tu huko huko ndani huyu zezeta huwa simuelewi!
Kwenye charge sheet kuna kutakatisha fedha?Utakatishaji fedha haina dhamana ama sheria na katiba zinavunjwa awamu ya 5???
Kama jiwe alivyozuia shughuli zote za kisiasa 2015-20.
Alitaka 2020 apite bila kupingwa.