pole sana haya magazeti yanasomwa dar es salaam peke yeke
mikoan hayafiki
achana naye mwongo huyo, labda aseme ni mkoa gani ambao halipatikaniAcha uongo huku mikoani hakuna hata nakala moja tunayokosa!
Saidi kubenea ni mfano wa kuigwa kwa waandishi wote tanzania, amekuwa na msimamo na anaamini katika jambo analoliandika, kikubwa zaidi saidi kubenea ni mtaalamu wa habari za kiuchunguzi. Kama udom walipaswa kutoa udakitari basi walipaswa kutoa kwa kubenea. Taifa hili litamkumbuka kwa haya
1. Ameendeleza vita na mafisadi bila kuyumbishwa
2. Pamoja na kumwagiwa tindikali ameendelea na msimamo wake kuonesha media ni muhimili wa nne katika kuleta maendeleo
3. Amekuwa akitoa habari na vielelezo
4. Siyo mnafiki -hasa pale alipowabana wanaojulikana ni vigogo wa nchi hii list of shame aliyotaja dr slaa-ikiwahusisha kikwete, rostam, lowassa, salma na wengineo
5. Alimlipua hamadi rashid kwa kusahau historia yake ya kutoitambua serikali ya zanzibar 1995, 2000, na 2005
6. Anafuata ethics za uandishi na kuelimisha umma
7. Ni mpinaji asiyenunulika
8. Ni mkombozi wa wanyonge
9. Ni mwandishi aliyesema pasipo na haki hakuna amani
10. Ni mwanahabari mwanamapinduzi
11. Ni kiongozi mpambanaji
hongera kubenea na timu yako songa mbele

Kuna ambaye ana CV ya huyu mwandishi wa habari? Nataka kujua, licha ya hulka yake, ni wapi ambapo amepata mafunzo ya kumpa ustadi huo.
mimi nnachojua alikuwa mwizi haswa