Kubenea has never seen the inside of a journalism college, anatumia ujasiri tu. Lakini kingine ni kwamba gazeti analoandikia analimiliki yeye mwenyewe, tofauti na magazeti mengine ambayo wamiliki wake wanaminya editorial independence. Nawafahamu waandishi wa habari jasiri wengi tu lakini wapo kwenye vyombo vya habari ambavyo vina policies zinazowazuia kuonyesha ujasiri wao.
Usituchanganye hapa hao unaowafahamu labda ni majasiri kwenye viti virefu tu. Yaani wakishatoka ofisini.