But the issue of colleges doesnt hold water.What i can say is that most journalists lack patriotism.they are money mongers and they embrace any kind of grand corruption.we have many evidences of journalists being brought before the court for seducind corruption.ethics starts from where you were nurtured but not from any colleges.if you have born a bogus you will continue to be a bogus.
Mkubwa Katitu naomba nikueleze jambo na wenzako
Si kweli kwamba waandishi wengi au wote nchini Tanzania si wazalendo au wanajihusisha na vitendo vya rushwa ili waandike baadhi ya habari ,HAPANA.
Tatizo kwa tanzania ni mfumo ulivyo ambao mara nyingi kama siyo zote huwezi kuwalinganisha na waandishi wa mataifa ya nje hata jirani zetu Kenya.
Ukweli ulio wazi ni kuwa waandishi wa tanzania wanafanya kazi hiyo kama njia ya kujiiingizias kipato badala ya kazi nyingine katika journalism.
Ukitazama mara nyingi vyombo vinavyofanya vema kwa tanzania vinaendeshwa na waandishi wenyeewe au wahariri wako huru kiutendaji.Mambo ya uchunguzi wa mambo makubwa ya kiufisadi au jambo fulani yanategemea hata mwandishi wenyewe yukoje kiuchumi nk,uhakika wa ajira yake,utegemezi nk.
Hakuna mwandishi au mtu yeyote kama wewe unayetumia jina la kificho kuamua kufichua mambo kwa madai kuwa taaluma yako inaruhusu huku nyuma ukiwa huna uhakika na msingi wa kazi yako.
Waandishi wa kimataifa mathalani wanafanyw kazi wakiwa katika bima nk,siyo ya hapa bongo ya kwenda kisutu kushuhudia chenge akiamuliwa kulipa faini ya sh laki saba na kuchapisha gazetini.
Kwa sasa hivi waandishi watalaumiwa sana lakini hali halisi hairuhusu labda wenye magazeti yao binafsi wakiamua kuchana na unazi tajwa
Ngoja nipumue kidogo
Byabato