Kubenea has never seen the inside of a journalism college, anatumia ujasiri tu. Lakini kingine ni kwamba gazeti analoandikia analimiliki yeye mwenyewe, tofauti na magazeti mengine ambayo wamiliki wake wanaminya editorial independence. Nawafahamu waandishi wa habari jasiri wengi tu lakini wapo kwenye vyombo vya habari ambavyo vina policies zinazowazuia kuonyesha ujasiri wao.

Namuona kama vile anahongwa au anatumika na kikundi fulani kwa ajili ya maandalizi 2015?
bado sijaona uandishi pale (umbeya mwingi_
Kubenea has never seen the inside of a journalism college, anatumia ujasiri tu. Lakini kingine ni kwamba gazeti analoandikia analimiliki yeye mwenyewe, tofauti na magazeti mengine ambayo wamiliki wake wanaminya editorial independence. Nawafahamu waandishi wa habari jasiri wengi tu lakini wapo kwenye vyombo vya habari ambavyo vina policies zinazowazuia kuonyesha ujasiri wao.
mara ya kwanza kulisoma MWANA-HALISI, ni sept 2007 baada ya Dr Slaa kuianika 1st 11 ya waibia nchi tz a.k.a mafisadi.
jinsi gazeti lilivyowasilisha ile habari kwa kutaja na kuweka picha zote ukurasa wa mbele,wakati hakuna gazeti lolote lililoweza kutaja jina wala kuonyesha picha,hakika nikisema namkubali KUBENEA,je utabisha kama we si gamba!!
toka kipindi hicho hadi sasa jamaa kasimama ile mbaya.utadhani nchi hii haina wandishi na wachambuzi wengine.
jamaa ni kichwa hata ma-prof wa nchi hii hawamuwezi kwa uchambuzi wa true story..je nikimwita DR,KUBENEA, nitakua nimekosea?..
BIGUP KAKA KUBE..