Saed Kubenea na gazeti la MwanaHalisi

Hata hyo Dr.bado hujamtendea haki mwte Prof.si zakupeana tu ka jamaa flan hvi pande za moyo?
 
Hapo unachanganya mambo kwa kulinganisha vitu tofauti. Kama unamaanisha maprof na madr kwenye fani ya uandishi wa habari hapo sawa.
 
Wewe kama bado uko hai njoo nikupe bia, 🙂 Anyway leo hii Kubenea anamuona Lowasa malaika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…