Safari Dar to Mwanza na Runx nitatoboa?

Kigari kitafika ila wakati wa kurudi itabidi urudi peke yako bila hicho Kigari.

πŸ˜€πŸ˜€
 
-Zingatia alama za barabarani
-Usitumie kilevi cha aina yoyote
-Utakapohisi uchovu pumzika
-Epuka kula kula ovyo
-Epuka mwendokasi.

Nikutakie safari njema
 
Mkuu unaanzaa mbaaali. Tushajua unamiliki Gari.
 
Zinaenda IST kwanini hiyo isifike? Make shure unapumzika after km kadhaa ku cool off gari
 
Umenipa moyo, mimi ni mtu nayependa sana kudrive nilikuwa nataka kwenda Kigoma shida njia mpaka nafika πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… au nifate Google map?
Mkuu safari, njema Mwenyezi Mungu akutangulie, ukihisi uchovu upumzike hivyohivyo.
 
Nenda unafika.. tembea wastani wa speed 80 hadi 100. Zingatia vibao vya speed na Alama za barabarani, pia angalia upepo wa tairi zako, check oil engine level. Kabla hujaludi Dar itabidi umwage oil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…