Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
- Thread starter
-
- #61
Unajipa moyo eeeh hahaa nipo Shinyanga nimeicha Nzega sio muda, nalala Shinyanga.......nimekula mikeka 2 ya chap chapSio rahisi, sio mzoefu.
Alianza safari saa tisa, saa tatu kasoro akawa moro. Saa tisa hii hawezikua kavuka Dodoma.
Nimevuka nipo Shinyanga Tinde hapa.....hii gari ni jiweItakuwa ameshafika pande hizo
Asante sana, nipo shinyanga mkuuNenda unafika.. tembea wastani wa speed 80 hadi 100. Zingatia vibao vya speed na Alama za barabarani, pia angalia upepo wa tairi zako, check oil engine level. Kabla hujaludi Dar itabidi umwage oil.
Tar 8 narudiKumbe inaenda hairudi..
Nipo ShinyangaPikipiki na hata baiskeli unatoboa sembuse run x
UnatoboaNipo Shinyanga
Kwa usalama wa masemi na mataa makali hapa nalala then saa 10 mapema naingia mjiniUnatoboa
Duuuuh aloooMi nilienda Dar to Mwanza na Runx. Nikakaa day 1 kesho yake nikageuza. Mara zote nililala Dodoma.
Ni sahihi saa 9 flan nikuwa naitafuta manyoniKwa muda aliotoka, saiv atakua anamulikwa na jua machoni.
Bila shaka atakua maeneo ya singida.
Huna miwani ya kuendeshea gari usiku nunua ukifika mwanza inazuia spotlight za wazee wa masemiKwa usalama wa masemi na mataa makali hapa nalala then saa 10 mapema naingia mjini
Kumbe kuna miwani? Hebu nielekeze maana kuanzia Nzega nimepigwa taa sana hadi nawaza nikifika mwanza na mm nifunge ma spotlightHuna miwani ya kuendeshea gari usiku nunua ukifika mwanza inazuia spotlight za wazee wa masemi
Mkuu sina speed na nimesimama sana njiani kukutana na vijana wangu, Dom nilipita Area D na Swaswa, singida nimesimama, igunga napo...Mtu una private mpaka sasa hujafika MZA? Anyway