Safari Guides nao ni WATALII - Kwa malipo wanayolipa kulala, kunywa mpaka viongilio! SIO HAKI

Safari Guides nao ni WATALII - Kwa malipo wanayolipa kulala, kunywa mpaka viongilio! SIO HAKI

Mouse3

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
1,441
Reaction score
1,282
Wanalipia kutoa speech kwa wageni, wanalipia kuitangaza nchi yao na vivutio vyoote! Masikini huyu guide ana endesha gari akiwaza asimame duka lipi ili apate hela akalipie malazi baada ya kushusha wageni hotelini!

Huko huko mahotelini wanalipishwa bei za kukamua! HAWATAENDELEA!

Wanatangaza nchi kwa moyo, wanapambana kuitangaza nchi kwa hali na mali (magari nayo wanatengeza humohumo njiani) na uhai wa wageni au watalii huko kwenye mabarabara mabooovu ya hifadhini ila wanatazamwa kwa jicho la kuwa niwakosaji! (Tuna laana ama?)

UTALII NI ZAWADI KUTOKA KWA MUNGU wenye vipawa waheshimiwe watunzwe wasibezwe!

WAZIRI - Kaa na hawa wadau TAIFA lijengwe lijengeke!
 
Wangekuwa hawapati faida wangekuwa wanafanya mambo mengine muda huu ninao reply Uzi wako.
 
Back
Top Bottom