Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Safari hii kwenye kampeni hata hawajarwmba na danganya toto za kupitisha greda kurekebisha barabara kwa muda mfupi ili watakaoenda kuwapigia kura wapite kwenye njia nzuri😂😂
Safari hii ni unyama, kiburi kiburi tu, mwingine hadi katuita mbwa huko😂😂 NIDA zinawapa kiburi kwelikweli. Utoke umetiki, Usitoke umetiki, kwanini wajisumbue sasa wakati hadi wanajua wameshinda kwa asilimia ngapi!😂😂
Eti Wakuu, mitaa yenu vijiko vimepita huko kuwawezesha kupita vizuri kama wanavyofanya(ga) miaka ya nyuma?
Niko zangu natroti hapa barabara hazipitiki, kamvua kadogo tu hakutamaniki! Ila si ndio vizuri lakini Wakuu, watapata tabu kutukimbiza au vipi?