Safari mpya,pray for me

Wazo zuri sana Husninyo, nimeilipokea kwa moyo wangu wote. Nitafika bila kukosa na wala sitokuangusha, niambie kuanzia muda gani niwe nimefika hapo! Babu DC kanambia hata nikikosa nauli atanipa!
uko wapi Kipipi,mi nshatinga kwa Spanish Lady Husn,ndo ananikaangia mayai,uko wapi weye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…