Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,075
uko wapi Kipipi,mi nshatinga kwa Spanish Lady Husn,ndo ananikaangia mayai,uko wapi weye?Wazo zuri sana Husninyo, nimeilipokea kwa moyo wangu wote. Nitafika bila kukosa na wala sitokuangusha, niambie kuanzia muda gani niwe nimefika hapo! Babu DC kanambia hata nikikosa nauli atanipa!