quimby_joey
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 390
- 165
Nikukumbushe hitoria: Maalimu alikataa matokeo mara tatu 1995, 2000.na 2005huyu marandu sasa ndio anaimaliza chadema kwa kutengeneza ushahidi bandia ili MASHABIKI wao wakasirike na kuleta fujo, na hapo ndio mwisho wa chadema maana mashabiki wao masikini watapata mkongoto na huenda chadema kufutwa kabisa kwa kuchochea machafuko na kumwaga damu!!!!
mimi nawashauri viongozi wa chadema wakubali matokeo na wamepata wabunge wengi wakafanye kazi bungeni waache kukimbilia ikulu waache kumsikiza huyu marandu anataka kuua chama chenu kwani ameingia chadema kwa kazi maalumu ambayo aliisha ifanya kazi kama hiyo pale alipoua nccr-mageuzi miaka ya 90!!!
mbona cuf wamekubali matokeo ya zanzibar na kama ushindi hupatikana kwa wingi wa mahudhurio ya watu ktk mikutano ya kampeni, basi maalim sefu alikuwa anapata umati wa watu, lakini wananchi wameamua hivyo slaa huna budi kukubali maamuzi ya wananchi na hapo utaonesha uzalendo na ukomavu wa kisiasa!!! Vinginevyo utajiabisha kwa kuchochea machafuko na kumwaga na damu za mashabiki wako!!!!
slaa wewe ni padri na unatakiwa kuonyesha upendo na huruma uliyofundishwa rome ili mashabiki wako wasipate misukosuko!!!
My take; Mahakamani je?
huyu marandu sasa ndio anaimaliza chadema kwa kutengeneza ushahidi bandia ili MASHABIKI wao wakasirike na kuleta fujo, na hapo ndio mwisho wa chadema maana mashabiki wao masikini watapata mkongoto na huenda chadema kufutwa kabisa kwa kuchochea machafuko na kumwaga damu!!!!

Huyu mama ananiboa kwa uelewa wake mbovu, anapenda kupotosha mantiki za thread! Waambie kikwete na nec kwa nini wanatangaza matokeo ambayo siyo, ila sio Dr. aache kudai haki ya umma! Yaani wewe unaona kudhulumu haki za watu ni bora kuliko kudai! Pumbavuhuyu marandu sasa ndio anaimaliza chadema kwa kutengeneza ushahidi bandia ili MASHABIKI wao wakasirike na kuleta fujo, na hapo ndio mwisho wa chadema maana mashabiki wao masikini watapata mkongoto na huenda chadema kufutwa kabisa kwa kuchochea machafuko na kumwaga damu!!!!
mimi nawashauri viongozi wa chadema wakubali matokeo na wamepata wabunge wengi wakafanye kazi bungeni waache kukimbilia ikulu waache kumsikiza huyu marandu anataka kuua chama chenu kwani ameingia chadema kwa kazi maalumu ambayo aliisha ifanya kazi kama hiyo pale alipoua nccr-mageuzi miaka ya 90!!!
mbona cuf wamekubali matokeo ya zanzibar na kama ushindi hupatikana kwa wingi wa mahudhurio ya watu ktk mikutano ya kampeni, basi maalim sefu alikuwa anapata umati wa watu, lakini wananchi wameamua hivyo slaa huna budi kukubali maamuzi ya wananchi na hapo utaonesha uzalendo na ukomavu wa kisiasa!!! Vinginevyo utajiabisha kwa kuchochea machafuko na kumwaga na damu za mashabiki wako!!!!
slaa wewe ni padri na unatakiwa kuonyesha upendo na huruma uliyofundishwa rome ili mashabiki wako wasipate misukosuko!!!
I can vividly see SLAA and CHADEMA's downfall.hawa watu hawana dhamira njema na hii nchi na wana agenda ya siri ambayo bado watanzania hatujaijua.mara zote MAFIA wa aina hii hutumia slogan za UKOMBOZI ili kupata sapoti ya wananchi lakini kilichokuwa nyuma ya pazia hakuna mtu anayejua.
let them try, wataona nini kitakachowapata. naona dalili za kufutwa kabisa katika ramani ya dunia kitu kinachoitwa CHADEMA
huyu marandu sasa ndio anaimaliza chadema kwa kutengeneza ushahidi bandia ili MASHABIKI wao wakasirike na kuleta fujo, na hapo ndio mwisho wa chadema maana mashabiki wao masikini watapata mkongoto na huenda chadema kufutwa kabisa kwa kuchochea machafuko na kumwaga damu!!!!
mimi nawashauri viongozi wa chadema wakubali matokeo na wamepata wabunge wengi wakafanye kazi bungeni waache kukimbilia ikulu waache kumsikiza huyu marandu anataka kuua chama chenu kwani ameingia chadema kwa kazi maalumu ambayo aliisha ifanya kazi kama hiyo pale alipoua nccr-mageuzi miaka ya 90!!!
mbona cuf wamekubali matokeo ya zanzibar na kama ushindi hupatikana kwa wingi wa mahudhurio ya watu ktk mikutano ya kampeni, basi maalim sefu alikuwa anapata umati wa watu, lakini wananchi wameamua hivyo slaa huna budi kukubali maamuzi ya wananchi na hapo utaonesha uzalendo na ukomavu wa kisiasa!!! Vinginevyo utajiabisha kwa kuchochea machafuko na kumwaga na damu za mashabiki wako!!!!
slaa wewe ni padri na unatakiwa kuonyesha upendo na huruma uliyofundishwa rome ili mashabiki wako wasipate misukosuko!!!
I can vividly see SLAA and CHADEMA's downfall.hawa watu hawana dhamira njema na hii nchi na wana agenda ya siri ambayo bado watanzania hatujaijua.mara zote MAFIA wa aina hii hutumia slogan za UKOMBOZI ili kupata sapoti ya wananchi lakini kilichokuwa nyuma ya pazia hakuna mtu anayejua.
let them try, wataona nini kitakachowapata. naona dalili za kufutwa kabisa katika ramani ya dunia kitu kinachoitwa CHADEMA
mwanasheria wa chadema, mabere marando amewasilisha rasmi nec barua ya kupinga matokeo.
hatua zilizochukuliwa/tutakazochukua ni:
1. Kwenda nec - (barua imewasilishwa jana)
2. Tunakwenda kueleza nchi wahisani ambazo zimefadhili shughuli za uchaguzi
3. tunakwenda kuwaeleza wananchi kilichotokea kwa kuwaonyesha ushahidi kamili.
4. Dk. Slaa amepanga kuwakilisha ushahidi mzito unaoonyesha uchakachuaji mkubwa wa kura za urais ulivyofanyika. Ushahidi huo ni pamoja na matokeo halisi ya vituoni yenye saini za mawakala ambayo yanapishana na yale ya nec.
marando alisema hadi juzi jumatatu matokeo ambayo tayari walikuwa wamekusanya kutoka katika maeneo mbalimbali ya nchi, yanaonyesha mgombea urais wa chadema dk. Willibrod slaa anaongoza kwa wastani wa asilimia 61.6%.
my take; mahakamani je?
huyu marandu sasa ndio anaimaliza chadema kwa kutengeneza ushahidi bandia ili mashabiki wao wakasirike na kuleta fujo, na hapo ndio mwisho wa chadema maana mashabiki wao masikini watapata mkongoto na huenda chadema kufutwa kabisa kwa kuchochea machafuko na kumwaga damu!!!!
mimi nawashauri viongozi wa chadema wakubali matokeo na wamepata wabunge wengi wakafanye kazi bungeni waache kukimbilia ikulu waache kumsikiza huyu marandu anataka kuua chama chenu kwani ameingia chadema kwa kazi maalumu ambayo aliisha ifanya kazi kama hiyo pale alipoua nccr-mageuzi miaka ya 90!!!
mbona cuf wamekubali matokeo ya zanzibar na kama ushindi hupatikana kwa wingi wa mahudhurio ya watu ktk mikutano ya kampeni, basi maalim sefu alikuwa anapata umati wa watu, lakini wananchi wameamua hivyo slaa huna budi kukubali maamuzi ya wananchi na hapo utaonesha uzalendo na ukomavu wa kisiasa!!! Vinginevyo utajiabisha kwa kuchochea machafuko na kumwaga na damu za mashabiki wako!!!!
slaa wewe ni padri na unatakiwa kuonyesha upendo na huruma uliyofundishwa rome ili mashabiki wako wasipate misukosuko!!!
lengo la kupinga si kwa uchaguzi huu tu bali mpango mzima wa chaguzi zijazo pia, bila kurekebishwa sasa mambo yatajirudia uchaguzi ujao.
genious!!!!!!!!naungana na chadema hii dhuruma haiwezi kuvumiliwa ingawa naamini kikwete angeweza kushinda kutokana na mtandao wa chama chake lakini si zaidi ya asilimia 51% na chadema ingepata wabunge zaidi ya 100
Nafikiri huelewi kinachoendelea,chama hakifutwi kwa kudai haki kumbuka historia ya CUF 1995 2000, umesahau wabunge wao na wawakilishi walikuwa mabubu bungeni kwa miaka minne walikuwa wakiingia na kusaini na kutoka ndani bila kuzungumza chochote mbona hukushauri CUF ifutwe kwa wawakilishi kulipwa bure pesa za walipa kodi.I can vividly see SLAA and CHADEMA's downfall.hawa watu hawana dhamira njema na hii nchi na wana agenda ya siri ambayo bado watanzania hatujaijua.mara zote MAFIA wa aina hii hutumia slogan za UKOMBOZI ili kupata sapoti ya wananchi lakini kilichokuwa nyuma ya pazia hakuna mtu anayejua.
let them try, wataona nini kitakachowapata. naona dalili za kufutwa kabisa katika ramani ya dunia kitu kinachoitwa CHADEMA
samahani naomba nikurekebishe, NI ''DADA KIBOGA''dada zubeda.