pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Mzee tunaongea kuhusu raga sio soka, huoni umbo la mpira hapo juu? [emoji38][emoji38][emoji38]Gor bwana ilijaribu lakini haitoshi mboga, Everton won 4-0
Mkikuyu unanifurahisha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Gor bwana ilijaribu lakini haitoshi mboga, Everton won 4-0
Hawa ndio hunifanya nifike huko
View attachment 926012
Acha pumba zako wewe, hamna cha chakula maalum wala nini, hawa ni wakenya wa kawaida tu. Alafu wakenya na watz nani ndio wadogo wadogo? Maanake Kenya kuna Nilotes wengi sana na kawaida yao huwa ni 6ft+.Hao wachezaji wa raga huwa wanapatikana wapi? I mean huwa wanapewa malezi na chakula maalumu na Serikali? Kwa maana nikiwa Kenya sikuwahi kuona watu wakubwa namna hiyo, labda wanafanya kama Japani na Sumo, ambapo wana sumo hupewa chakula maalumu ili wawe wakubwa!
Sijawahi ona Mkenya mkubwa namna hiyo Wakenya wengi vidogo dooogo!
Watz na dharau lol.Hao wachezaji wa raga huwa wanapatikana wapi? I mean huwa wanapewa malezi na chakula maalumu na Serikali? Kwa maana nikiwa Kenya sikuwahi kuona watu wakubwa namna hiyo, labda wanafanya kama Japani na Sumo, ambapo wana sumo hupewa chakula maalumu ili wawe wakubwa!
Sijawahi ona Mkenya mkubwa namna hiyo Wakenya wengi vidogo dooogo!
Hahaha! [emoji1] Ndio maana huwa wanasema raga ni 'a hooligans' game played by gentlemen'. Tusker huwa zinauzwa kupindukia kwenye hafla kama hizi za raga lakini hutasikia hata siku moja habari za vurugu zozote zile kutoka kwa mashabik.Responsible adults drink responsibly!!! hahaha , I will not remember that
Usije ukawasingizia watz wote, huyo ni fyatu flani hivi.Watz na dharau lol.
Hao wachezaji wa raga huwa wanapatikana wapi? I mean huwa wanapewa malezi na chakula maalumu na Serikali? Kwa maana nikiwa Kenya sikuwahi kuona watu wakubwa namna hiyo, labda wanafanya kama Japani na Sumo, ambapo wana sumo hupewa chakula maalumu ili wawe wakubwa!
Sijawahi ona Mkenya mkubwa namna hiyo Wakenya wengi vidogo dooogo!
Hahaha! 😀 Eti kamunguna, hilo jina mara ya mwisho kulisikia nilikuwa maeneo ya Embu.Tanzania ndio imejaa kamungunas. Watu wafupi wagupi tu.
Nigerians ask the same question how we make an international rugby 7's team..rugby is 2nd most played sport in KE high sch's which act like academiesHao wachezaji wa raga huwa wanapatikana wapi? I mean huwa wanapewa malezi na chakula maalumu na Serikali? Kwa maana nikiwa Kenya sikuwahi kuona watu wakubwa namna hiyo, labda wanafanya kama Japani na Sumo, ambapo wana sumo hupewa chakula maalumu ili wawe wakubwa!
Sijawahi ona Mkenya mkubwa namna hiyo Wakenya wengi vidogo dooogo!
Hahaha! 😀 Eti kamunguna, hilo jina mara ya mwisho kulisikia nilikuwa maeneo ya Embu.