Safari Sevens 2018, RFUEA Grounds Nairobi

Safari Sevens 2018, RFUEA Grounds Nairobi

Action uwanjani pale RFUEA.
2018_SimbasvUg-e1534232470463.jpg
Veterans, mashujaa wa zamani wakimenyana na waganda.
dct7hwl7tkfebwnc85b6dfa21787a6.jpg
 
MOTARI.jpg
Kenya Moran's Motari in action.
harold-1.jpg
Shujaa Vs. Mwamba RFC.
shujaa_pix.jpg
Dennis Ombachi scores a try against Mwamba RFC.
safari_pix.jpg
Shujaa winning in style against Red Wailers.
 
Mean machine made of steel nondescript made of wood. Shikamoo watani. Chant way back in history.
 
Mean machine made of steel nondescript made of wood. Shikamoo watani. Chant way back in history.
Men, where did you get that? I was very 'involved' in Mean Machine matters, back in the days, when I was doing my undergraduate studies at The U.O.N.
 
Men, where did you get that? I was very 'involved' in Mean Machine matters, back in the days, when I was doing my undergraduate studies at The U.O.N.
Cockroaching box,pasua kichwa Mahtama Gandhi library aka the mortuary playing with dead men ideas!Nostalgia.
 
Cockroaching box,pasua kichwa Mahtama Gandhi library aka the mortuary playing with dead men ideas!Nostalgia.
Hahaha! [emoji1] Heshima mkuu, naona wewe ni wa them them days, ila mila na desturi bado zinadumishwa. Niliacha hapo nje ya mortuary pakiitwa DSTV, sehemu maalum ya kula kwa macho. 😀 Mean Machine haiwiki sana kama zamani, nilizuru maeneo hayo Jan this year tukachapa nao friendly moja bab kubwa ya ma'alumni' pale uwanjani.
 
DSTV-kamkunji uwanja wa migomo na kuchokonoa serekali. Mwisho wa siku wanafunzi wanatimuliwa with express order kuripoti kwa chief mara mbili kwa wiki!
 
nani yule kafanana na Magufuli upande wa kushoto wa hii picha
Hahaha! 😀 Hutampata mtz hata mmoja hapo. Hiyo timu ya Samurai ina wachezaji kutoka S.A, Hong Kong, Kenya na Uganda. Shujaa, ,defending champions' walipokonywa kikombe jombaa, next time.
 
DSTV-kamkunji uwanja wa migomo na kuchokonoa serekali. Mwisho wa siku wanafunzi wanatimuliwa with express order kuripoti kwa chief mara mbili kwa wiki!
Hata na wewe pia ulirusha mawe? Mabomu ya machozi tuliyakula sawasawa jombaa hadi siku hizi tuna 'immunity', wakiyalipua huwa tunasikia yakinukia pilau. [emoji1]
 
Kabeberi7s.jpg
AibNcfG30_0VcC7JAhEGjq7v2_IgG81TfYxT8cJETP0e-600x400.jpg
Ndio raha ya hafla za raga warembo, action kali kupindukia uwanjani na umati pia huwa umechangamka viajab, kile ambacho huwa wametumia ndio siwezi kueleza. [emoji1][emoji1][emoji1].
safari-sevens-nairobi-1-e1499012771271.jpg
Watu single na wapiga puchu utawajua kwa picha wanazo post
 
Watu single na wapiga puchu utawajua kwa picha wanazo post
Hapa kwenye masuala ya michezo, tena raga, ma'softie' wa chipsi mayai kama wewe huwa hawakubaliki. Simba pia huwa hali nyumbu pekee yake kila siku ya wiki, ukibalekhe utajua. 😎
 
Back
Top Bottom