pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
-
- #21
Acha waje wenyewe wakujibu. Kwenye mchuano wa kina dada timu zote ni za Kenya na Uganda.Watanzia hucheza huu mchezo kweli?
Men, where did you get that? I was very 'involved' in Mean Machine matters, back in the days, when I was doing my undergraduate studies at The U.O.N.Mean machine made of steel nondescript made of wood. Shikamoo watani. Chant way back in history.
Cockroaching box,pasua kichwa Mahtama Gandhi library aka the mortuary playing with dead men ideas!Nostalgia.Men, where did you get that? I was very 'involved' in Mean Machine matters, back in the days, when I was doing my undergraduate studies at The U.O.N.
Hahaha! [emoji1] Heshima mkuu, naona wewe ni wa them them days, ila mila na desturi bado zinadumishwa. Niliacha hapo nje ya mortuary pakiitwa DSTV, sehemu maalum ya kula kwa macho. π Mean Machine haiwiki sana kama zamani, nilizuru maeneo hayo Jan this year tukachapa nao friendly moja bab kubwa ya ma'alumni' pale uwanjani.Cockroaching box,pasua kichwa Mahtama Gandhi library aka the mortuary playing with dead men ideas!Nostalgia.
Naunga mkono hoja. Nilisikia Mr. Muthee wa KRU akisema kuna mpango kama huo 'in the pipeline'. Hope they go through with it.Iyo $5B itumike kiasi kama ksh.40B kujenga brand new RFUEA like 50,000 capacity.
DSTV-kamkunji uwanja wa migomo na kuchokonoa serekali. Mwisho wa siku wanafunzi wanatimuliwa with express order kuripoti kwa chief mara mbili kwa wiki!Hahaha! [emoji1] Heshima mkuu, naona wewe ni wa them them days, ila mila na desturi bado zinadumishwa. Niliacha hapo nje ya mortuary pakiitwa DSTV, sehemu maalum ya kula kwa macho. π Mean Machine haiwiki sana kama zamani, nilizuru maeneo hayo Jan this year tukachapa nao friendly moja bab kubwa ya ma'alumni' pale uwanjani.
nani yule kafanana na Magufuli upande wa kushoto wa hii pichaInternational side Samurai win Safari7s 2018 after beating Shujaa 21-14 at the cup finals.Samurai beat Shujaa to reclaim Safari 7s title - Capital Sports
Hahaha! π Hutampata mtz hata mmoja hapo. Hiyo timu ya Samurai ina wachezaji kutoka S.A, Hong Kong, Kenya na Uganda. Shujaa, ,defending champions' walipokonywa kikombe jombaa, next time.nani yule kafanana na Magufuli upande wa kushoto wa hii picha
Hata na wewe pia ulirusha mawe? Mabomu ya machozi tuliyakula sawasawa jombaa hadi siku hizi tuna 'immunity', wakiyalipua huwa tunasikia yakinukia pilau. [emoji1]DSTV-kamkunji uwanja wa migomo na kuchokonoa serekali. Mwisho wa siku wanafunzi wanatimuliwa with express order kuripoti kwa chief mara mbili kwa wiki!
Watu single na wapiga puchu utawajua kwa picha wanazo post Ndio raha ya hafla za raga warembo, action kali kupindukia uwanjani na umati pia huwa umechangamka viajab, kile ambacho huwa wametumia ndio siwezi kueleza. [emoji1][emoji1][emoji1].
Hapa kwenye masuala ya michezo, tena raga, ma'softie' wa chipsi mayai kama wewe huwa hawakubaliki. Simba pia huwa hali nyumbu pekee yake kila siku ya wiki, ukibalekhe utajua. πWatu single na wapiga puchu utawajua kwa picha wanazo post