Safari ya Cameroon hatwendi: Watanzania wepesi wa kusahau

Safi CAF
 
naikumbuka mechi ya nigeria kuna mchezaji alikuwa anaitwa segoun gadegade inavyotamkwa inawezekana nimekosea herufi ila mwaka 84 nemes alikuwa bado kuchezea taifa stars turudi kwenye point yako Cameroon tunaweza kwenda ikiwa tutakuwa na nidhamu ya mpira na kuacha kucheza mpira mdomoni haya mambo ya kuwaita stars bungeni kuwapongeza yamepitwa na wakati ingawa waziri wa michezo anapenda sana sifa na haya agazeti yanapenda sana kupamba wachezaji mpaka wanajiona wako level sawa na brazil
 
Fei Toto na Ajibu wanaenda kuwavuruga Walesotho kwao...nimeshaanza kuweka kibubu nauli ya kwenda AFCON 2019...
 
Mkuu hongera kwa makala nzuri ungekuwa karibu ningekupiga kalaki cha soda
 
Leo wanaenda Lunch pale White house labda itasaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…