Safari ya Che Guevara Tanzania 1965

Safari ya Che Guevara Tanzania 1965

Kabisa angeendelea na utaratibu wa maandishi.
Mi sina tatizo la bando ila siangalii maongezi bali kusoma sawa
Babu...
Ukichunguza utagundua kuwa natumia vyote maandishi na maongezi.

Lakini zaidi huweka maongezi pale ninapomjibu mtu anaeleta kejeli na matusi.

Kusoma ni bora zaidi.
 
Mwanangu wa mwisho nimempa hilo jina Cheguevara, natamani nae aje awe mwanaharakati mkubwa wa kumkomboa mwanadam kwenye madhila ya kidunia
 
Babu...
Ukichunguza utagundua kuwa natumia vyote maandishi na maongezi.

Lakini zaidi huweka maongezi pale ninapomjibu mtu anaeleta kejeli na matusi.

Kusoma ni bora zaidi.
Kwenye maandishi wengi watasoma kusikiliza inakua ngumu.
 
Mwanangu wa mwisho nimempa hilo jina Cheguevara, natamani nae aje awe mwanaharakati mkubwa wa kumkomboa mwanadam kwenye madhila ya kidunia
Ambae wewe baba yake umeshindwa kumkomboa huyo mwanadamu!
 
Dr.
Natambua hali zikoje lakini kuna mambo siwezi kutimiza ingawa natamani.
Ehe che Guevara anatimba mikocheni/kawe beach usiku wa manane nyumbani kwa mondlane,mbona mazungumzo ya che umeyakata
Endelea mzee

Ova
 
Je, kuna uwezekano "Che" ki-Spanish imetokana na Sheikh ya Kiarabu?

Kama ilivyo "Chaka" ki-Zulu ni Sheikh ya Kiarabu.
 
Je, kuna uwezekano "Che" ki-Spanish imetokana na Sheikh ya Kiarabu?

Kama ilivyo "Chaka" ki-Zulu ni Sheikh ya Kiarabu.
Wanasema ni kiebrania na kiyunani... ndio mwanzo wa yote hayo! Kiarab kilikuja baadae ambacho Hakina ata zaidi ya Miaka 3000!

Ukweli upo wapi hapo?
 
Sawa Mkuu
Niliifatulia Kwa Masoud Masoud Mwanzo ~Mwisho
 
Back
Top Bottom