Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Dr.Mzee kwa bundle hilihili la bukubuku? Ungetuwekea na mahojiano kwa njia maandishi japo summary.
Kabisa angeendelea na utaratibu wa maandishi.Mzee kwa bundle hilihili la bukubuku? Ungetuwekea na mahojiano kwa njia maandishi japo summary.
Babu...Kabisa angeendelea na utaratibu wa maandishi.
Mi sina tatizo la bando ila siangalii maongezi bali kusoma sawa
Kwenye maandishi wengi watasoma kusikiliza inakua ngumu.Babu...
Ukichunguza utagundua kuwa natumia vyote maandishi na maongezi.
Lakini zaidi huweka maongezi pale ninapomjibu mtu anaeleta kejeli na matusi.
Kusoma ni bora zaidi.
Babu...Kwenye maandishi wengi watasoma kusikiliza inakua ngumu.
Ambae wewe baba yake umeshindwa kumkomboa huyo mwanadamu!Mwanangu wa mwisho nimempa hilo jina Cheguevara, natamani nae aje awe mwanaharakati mkubwa wa kumkomboa mwanadam kwenye madhila ya kidunia
Ehe che Guevara anatimba mikocheni/kawe beach usiku wa manane nyumbani kwa mondlane,mbona mazungumzo ya che umeyakataDr.
Natambua hali zikoje lakini kuna mambo siwezi kutimiza ingawa natamani.
Ambae wewe baba yake umeshindwa kumkomboa huyo mwanadamu
Haina tabu bintiiAmbae wewe baba yake umeshindwa kumkomboa huyo mwanadamu!
Wanasema ni kiebrania na kiyunani... ndio mwanzo wa yote hayo! Kiarab kilikuja baadae ambacho Hakina ata zaidi ya Miaka 3000!Je, kuna uwezekano "Che" ki-Spanish imetokana na Sheikh ya Kiarabu?
Kama ilivyo "Chaka" ki-Zulu ni Sheikh ya Kiarabu.
Asante kwa bandiko hiliMaktaba leo imetembelewa na Mwalimu wa Historia Dr. Francis Daud.
Kilichomleta ni yeye kutaka kusikia kutoka kwangu kipi nikijuacho kuhusu mwanamapinduzi huyu.
Sikiliza mazungumzo yetu:
View: https://youtu.be/Ooi9Ut4zU94?si=blcV4RnIr8-RODHT
Kumbe Lugha ya Allah imeikuta lugha ya mayahudi ipo kitambo, FaizaFoxy upo nyonyo?Wanasema ni kiebrania na kiyunani... ndio mwanzo wa yote hayo! Kiarab kilikuja baadae ambacho Hakina ata zaidi ya Miaka 3000!
Ukweli upo wapi hapo?