Safari ya Kilimanjaro/Arusha 24 December

Safari ya Kilimanjaro/Arusha 24 December

Gfav

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
378
Reaction score
669
Habari za Jumapili wandugu, kwa sisi ambao tupo mbali na familia tunajua umuhimu wa kuwajulia hali kipindi hiki cha sikukuu.

Kama kuna mtu anasafiri mahali popote tarehe 24 mfano, kwa wafanya kazi na angeitaji mtu wa kusaidiana naye gharama, hemu tuweke ratiba zetu unaweza kumsaidia mtu.

Karibuni sana!
 
Ninawaza kuondoka Tarehe 24 Dar Es salaam saa 9 mchana - Baada ya mda wa office. Na kurudi tarehe 26 Mapema - kutoka Arusha. Nina seat 3 tu.
 
Ninawaza kuondoka Tarehe 24 Dar Es salaam saa 9 mchana - Baada ya mda wa office. Na kurudi tarehe 26 Mapema - kutoka Arusha. Nina seat 3 tu.
Thread Closed!!!
 
Back
Top Bottom