Safari ya kuanzisha biashara ya nafaka kwa mtaji wa Tsh. milioni 50

Sasa Drc wakishagunduwa kuwa wewe sio mwenyeji utapigwa mkwara balaa. Kuna safari nyingine nilikuwa nimepeleka mchele (yenyewe ilikuwa safari ya gari tulienda kwa roli la mizigo) sasa kufika sehem tulipoegesha ikabidi nizunguke nyuma ya gari nikakoja. Duh! Kakaja kadogo flani ivi kakanisalimia kakaniuliza papaa unakoyola ?

Nikaleta u tz nikakaambia Dogo achana namm mi sijakojoa bane, kumbe kameshanipiga hadi picha kakanionesha papaa iko me nakwambia umekoyola unaleta bhukaramushi ona huyu ni Nan? Sasa napeleka ku bha sodaa (askari) waje kamata wewe ku biloo(jela). Duh! Nikawa mpole ikabidi nikape mchele kidogo tumalizane

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Asante mkuu tuko pamoja


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Create brand yako kwanza,Anza na product moja,mfano mahindi,,pack kwa ujazo kilo moja,mbili,tano,kumi,ishirini na tano,ukishakamata market ndo unaenda unaongeza kidogokidogo

Asante sana mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Ni kweli mkui hiyo hali yaijua kabisa.uzuri mwenyewe kule ndo nyumbani alafu nina campani ya watu kule katika maswala kama hayo wanaweza kuyazima fasta.
Hilo swala lako lipo na nalilipitia katika wazo la kuanzisha biashara huko


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Pole sana mkuu




Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Aaaaaaasssh unanifuisha mkuu kwa stori hii.
Ni kweli kabisa ila hile iko poa kibiashara inaweza kukutoa kimaisha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 


Duh...aisee...ubabe ubabr.poor us hatunaga kash kash na wageni sisi!...dah...ila wenyewe full roho mbaya!
 

We jamaa nimecheka sana dahh
 
Ila Wacongo wavivu sana, yaani hata kuku wanashindwa kufuga!!
 
Ila Wacongo wavivu sana, yaani hata kuku wanashindwa kufuga!!

Sio wavivu mkuu sema hali halisi ya kisiasi inawafanya askar waww na mfumo huo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nani amekutumanga kufanya mabisnezoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii comment nmecheka sana

ujue wale jamaa hawajui kiswahili fasaha kwa hyo vile wakiskia tu lafudh yako wanajua huyu sio kongoman mwenzetu by the way leo niko.mwanza huku mchele unauzwa 1000@ kilogram kama unahtaji karibu

Cheef Baroka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"ukicheza kidogo to unarudi kule kule."

hii n kweli kabisa asee[emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good idea 💡 Usikatishwe tamaa na kitu chochote

Mtangulize Mungu mbele
 
Mkuu nitaanza na maduka ya nafaka kwa hiyo pesa,mafuso na mambo mengn ni kwa baadae baada ya kuona mambo yanaenda sawa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu vip ulifanikiw kuanz na hayo maduka ya nafak tupe mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…