Safari ya kuelekea kumrithi Nyerere

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
5,565
Reaction score
843
Wakuu nina swali. Hivi process ya kumreplace Mwalimu Nyerere ili kuaje kuaje? Nini kilim pelekea Mwalimu kuachia ngazi? Je ilikua kwa mapenzi yake mwenyewe au alisha soma dalili za nyakati? Siasa za wakati ule zili kuaje na zili changia vipi kumpata raisi tuliye mpata? Kwa nijuacho mimi ni kwamba wengi walisema Mwinyi was a compromise choice na wala hakuwa chaguo la kwanza la Nyerere, I could be wrong. Nini haswa kili tokea katika kuelekea kumrithi Julius Nyerere?
 



Nasikia kuna watu walitibua ilikuwa awe Salim Ahmed Salim, katika watu hao Getrude Mongela ni muhusika mkubwa, wenye taarifa zaidi zileteni mimi ndivyo nilivyosikia miaka hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…