MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 843
Wakuu nina swali. Hivi process ya kumreplace Mwalimu Nyerere ili kuaje kuaje? Nini kilim pelekea Mwalimu kuachia ngazi? Je ilikua kwa mapenzi yake mwenyewe au alisha soma dalili za nyakati? Siasa za wakati ule zili kuaje na zili changia vipi kumpata raisi tuliye mpata? Kwa nijuacho mimi ni kwamba wengi walisema Mwinyi was a compromise choice na wala hakuwa chaguo la kwanza la Nyerere, I could be wrong. Nini haswa kili tokea katika kuelekea kumrithi Julius Nyerere?