Safari ya kuleta kombe la Caf Confederation nchini Tanzania ndio inaanza Leo

mlambaji asali

Senior Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
150
Reaction score
505
Leo jioni majira ya saa Moja kamili kwa saa za Afrika Mashariki ndio rasmi inaanza ile safari iliyosubiliwa kwa muda mrefu na Wananchi wote Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuona mojawapo ya timu zake ikinyakua kombe lolote barani Afrika.

Kwa miaka ya hivi karibuni zimejitokeza baadhi ya timu na kuonesha angalau zinaweza kufanya kitu huko kwenye michuano ya Caf, timu hizo ni Simba pamoja na Namungo. Ila timu hizo zote mwisho wa siku zimeitia aibu nchi kwa kubugizwa magoli mengi huko ugenini na kuondoshwa mashindanoni Kwa vipigo vya aibu.

Sasa mateso hayo yote yanaenda kuisha. Katika dimba[emoji2522] la Olympique De Radés jijini Tunis lenye uwezo wa kubeba watazamaji 60,000, historia mpya inaenda kuandikwa. Vizazi na vizazi vitautaja uwanja huu kama mwanzo wa mapinduzi makubwa ya soka la bongo yalipoanzia.

Stay tuned............[emoji1732][emoji1732][emoji1732]
 
Ilo mbona liko wazi.. ubingwa[emoji471] lazima uende pale Jangwani. Utopolo popote ulipo piga keleleeeeee[emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]
 
Kwani kati ya Nyerere na Mkwawa yupi alianza kupigania uhuru wa nchi hii?
 
Hakika mkuu lazima Hawa waarabu watobolewe kimoja tu Cha nguruwe
 
Mapinduzi ya kulitia aibu taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…