Safari ya kuleta kombe la Caf Confederation nchini Tanzania ndio inaanza Leo

Safari ya kuleta kombe la Caf Confederation nchini Tanzania ndio inaanza Leo

Leo jioni majira ya saa Moja kamili kwa saa za Afrika Mashariki ndio rasmi inaanza ile safari iliyosubiliwa kwa muda mrefu na Wananchi wote Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuona mojawapo ya timu zake ikinyakua kombe lolote barani Afrika.

Kwa miaka ya hivi karibuni zimejitokeza baadhi ya timu na kuonesha angalau zinaweza kufanya kitu huko kwenye michuano ya Caf, timu hizo ni Simba pamoja na Namungo. Ila timu hizo zote mwisho wa siku zimeitia aibu nchi kwa kubugizwa magoli mengi huko ugenini na kuondoshwa mashindanoni Kwa vipigo vya aibu.

Sasa mateso hayo yote yanaenda kuisha. Katika dimba[emoji2522] la Olympique De Radés jijini Tunis lenye uwezo wa kubeba watazamaji 60,000, historia mpya inaenda kuandikwa. Vizazi na vizazi vitautaja uwanja huu kama mwanzo wa mapinduzi makubwa ya soka la bongo yalipoanzia.

Stay tuned............[emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Aibu yako hii
 
Back
Top Bottom