Safari ya kumfuata mtoto wa kishua moshi

Podcast

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
767
Reaction score
901
Habari wana jf kama ilivyo kawaida ya vijana na mambo ya mahusiano kila siku.
Kuna mtoto flan hivi wa kishua kweli anakaa moshi na anasoma chuo hapo hapo moshi town.sasa wazee sijawahi kula uyu mtoto sababu yeye yupo huko mimi nipo mkoa mwingine na tumewahi onana mara moja tu sasa nimeamua kumfuata uko uko moshi maana naona nitakuja kuambulia manyoya sasa.
Sasa hapa kuna baadhi ya vitu nahitaji kujua kuhusu moshi (kilimanjaro).
*Ni wapi naweza pata guest au lodge na kiasi cha chini kabisa ni bei gani.
*ni sehemu gani naweza kukaa nikapata msosi wa kawaida tu sina maisha mazuri kiasi hicho.
*Ukifika moshi ni sehem gani muhimu lazima ufike ili useme kweli nimefika moshi.

NB:bajeti isiwe kubwa jamani ikiwa kubwa siendi 😄😄
 
Ukisha onana naye ata kuonesha uswahilini kwenye vitu vya chee, nenda Migombani
 
Ukifika town chukua hiace za kcmc, huko kuna gest hadi za buku tano mkuu.
 
100 k ni hela ya kusema upate hayo uliyoyaandika?
Ukifika chukua tax waeleze unachotaka wale wanajua kila sehemu na bei.
Asante kwenye 100k nimeongeza kidogo nazani itafaa
 
Habari wana jf kama ilivyo kawaida ya vijana na mambo ya mahusiano kila siku.
Kuna mtoto flan hivi wa kishua kweli anakaa moshi na anasoma chuo hapo hapo moshi town.sasa wazee sijawahi kula uyu mtoto sababu yeye yupo huko mimi nipo mkoa mwingine na tumewahi onana mara moja tu sasa nimeamua kumfuata uko uko moshi maana naona nitakuja kuambulia manyoya sasa.
Sasa hapa kuna baadhi ya vitu nahitaji kujua kuhusu moshi (kilimanjaro).
*Ni wapi naweza pata guest au lodge na kiasi cha chini kabisa ni bei gani.
*ni sehemu gani naweza kukaa nikapata msosi wa kawaida tu sina maisha mazuri kiasi hicho.
*Ukifika moshi ni sehem gani muhimu lazima ufike ili useme kweli nimefika moshi.

NB:bajeti isiwe kubwa jamani ikiwa kubwa siendi [emoji1][emoji1]
Bwana mdogo acha masihara, unapenda starehe wakati huna hela? Tafuta hela kwanza
 
Kuna baadhi ya vitu huwa ni motivation ya kutafuta hela,ila sio kutafuta hela kukawa motivation ya kutafuta hela.
 
ukifika moshi nipigie,mm ni dereva tax.

ntakupeleka sehemu zote nzuri zenye bei nafuu;

0655 933 428
 
Nadhani ungemuuliza huyo mwanamke wako ingekuwa vizuri zaidi
Angekupa maelezo yote unayo yataka
 
Back
Top Bottom