guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Kifaransa nilikisoma kidogo mwaka 2004 pale Makongo Form 3 baadaye ya kuhamia pale tokea Lake Secondary School ya Mwanza. Sina msingi mzuri wa Form One and Two kwani sikufanikiwa kupata msingi mzuri wa Mwalimu wetu nguli bwana Komba.
Hivyo kabla sijazamia Mayotte naomba kama kuna mjuzi aliyekwiva anifungue macho kuhusu lugha hii. Kwa sasa nipo Meatu Simiyu. Nahitaji mbinu za kujifunzia lugha hii
Natanguliza shukrani.
Hivyo kabla sijazamia Mayotte naomba kama kuna mjuzi aliyekwiva anifungue macho kuhusu lugha hii. Kwa sasa nipo Meatu Simiyu. Nahitaji mbinu za kujifunzia lugha hii
Natanguliza shukrani.