guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Nitafanya hivyo mkuuguwe_la_manga,
Kama una msingi wa lugha, unaeza kujifnza online, ama kupitia Youtube mkuu, otherwise uende Arusha huko nina uhakika utapata sehemu nyingi na ambapo utajifunza kwa haraka zaidi.
Nashukuru mkuu nitaufanyia kazi ushauri wakoTafuta shule/chuo kunakopatikana mafundisho ya lugha. Huwa wana kozi za muda mfupi, wa kati na mrefu.
Nina imani huko utapata unachokihitaji kwa kiwango kizuri na bora.
Poa,shukraniJifunze kupitia duolingo hutahitaji mwalimu
Kifaransa wanaongea watu wachache hivyo kitanipa advantage. Pia ningependa nikafundishe kiingereza hivyo nikijua kifaransa itanirahisishia kutafsiri vyema masomo toka kiiingreza kwenda kifaransa kwani kifaransa bdiyo lugha rasmiMayotte mbona wanakiongea Kiswahili
ShukraniSearch app yaitwa Duolingo
Shukrani mkuu na wote mlionishauriSearch app yaitwa Duolingo
Nitamtafuta shukranKama una rafiki mkongo itakurahisishia kuendelea kujifunza
Kuna sehemu inaitwa kimahama,...niliwahi kwenda na nilishangazwa na watu wengi wanaozungumza kwa ufasaha Lugha zingine,,,wakati huo kifaransa na Kiispaniola kimeshika hatama..walikuwa na hamasa kubwa saana.Nitafanya hivyo mkuu
Arusha sehemu gani kama hautojali mkuu?
Nitaenda huko,shukraniKuna sehemu inaitwa kimahama,...niliwahi kwenda na nilishangazwa na watu wengi wanaozungumza kwa ufasaha Lugha zingine,,,wakati huo kifaransa na Kiispaniola kimeshika hatama..walikuwa na hamasa kubwa saana.
ShukraniUkifika arusha ulazia jengo la moleli mianzini utapata lugha zote ata kipalestina