Safari ya Lissu kuelekea Nairobi ilikuwa ni mateso na vilio, Spika Ndugai usitoneshe vidonda

Amen!Mara ya kwanza alikwenda India akiwa amevaa suti na sandozi safari hii nasikia atarudi amevaa suti na vidole vya plastic:
Linapokuja suala la Lisu huwa linaniondolea amani
 
Mjumbe lugha yako ina ukakasi. Spika Ndugai ni mtu mkubwa hapa kwetu tunamwita Mheshimiwa Ndugai, si "Ndugai". Ila wewe ni afadhali kidogo kuliko alivyosema Tundu Lissu: "mwambieni hiyo Magufuli wenu....".
Ndg yangu usidanganyike, kile upandacho ndicho uvunacho.
Ukiheshimu watu utaheshimika.
Heshima haiombwi bali hutengenezwa kwa kuwaheshimu wengine.
Hao wote uliowataja hawakuheshimu wengine na hayo ndiyo stahiki yao kuotwa hivyo.
 
Muda ndio mwalimu sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…